Karibuni semina ya ufugaji wa kuku!!!

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
794
656
Habari , kama kichwa cha habari kinavyojieleza , tuanza kutoa semina ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kuanzia tarehe 1/10/2016 Jumamosi sehemu ni dodoma mitimirefu kwanzia saa 10:00AM asubuhi hadi saa 16:00 PM jioni. Ada ni shilingi elfu 10 kwa kila mmoja karibuni.

Kwa mawasiliano 0755429928/0652247221.
Mahali: Mailimbili mitimirefu - Dodoma.

Na kila Jumamosi kutakuwa na semina tofauti tofauti kuhusu ufugaji(Mbuzi,Ng'ombe,n.k);
 
Back
Top Bottom