MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,432
Mkuu wewe kiboko umenikumbusha John Peter Pantalakis a.k.a JPP! Huyu ni uncle wa John Dilinga Matlou a.k.a DJ JD ambaye pia ndio aliyemuingiza DJ JD kwenye fani. Kweli maji hufata mkondo wake maana JD alikuwa Rapper akirap kwa kiingereza(alivyotoka South Africa) lakini JPP ndio alianza kumfundisha na kumpa nafasi baada ya kugundua dogo mkali! JPP sijui anafanya nini kwa sasa lakini mkongwe Dj Seydou yupo fairway pub kila siku bado analisongesha vizuri tu!View attachment 32536View attachment 32537View attachment 32538View attachment 32539View attachment 32540View attachment 32541
Nani anavikumbuka hivi?.......
Picha kwa hisani ya John Kitime....