rayman m
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 120
- 27
Allocation yenu hii hapa!!! http://www.suanet.ac.tz/docs/loan allocation 1st batch.pdf. Hata hivyo nawashauri wale mlo kosa hasa wale wa 2nd year mlo kosa mwaka jana na majina yenu hayaja apear sehemu yoyote muwe na subira kwani hiyo hapo ni 1st batch so HUENDA KUKAWA NA BATCH ZINGINE. asanteni nami nashuka jukwaani kuwapisha wengine!