Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

Wewe nakuona tu.
Hahahshhah
Hii sio ile
nikioga nakuona wewe kwenye beseni
sili,sinywi, silali,sikunyi nkuwaza wewe tu
Nitembea miguu inatenguka sababu nakuwa
kilema juu yako, sina nguvu hata ninywe red bull 100
Hahahshhah kuna raha sana duniani jamani daahhh
 
We mkaree, tukutane paree paree
 
Kuna gari ya bluu imepaki angalia ndio mimi hebu angalia

..ha ha ha!, ...hayo mambo ya kuambiana "utaona gari, fulu tinted, ukifika wewe ingia tu siti ya abiria mbele"
siku moja mtajikuta kwenye "makucha ya simba!"

crime-carjacking02.jpg

...muwe makini!
 
Ahaa ahaa mkuu umeua kabisa hiyo picha jamaa ameshika gongo la baseball nimecheka kweli
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
..ha ha ha!, ...hayo mambo ya kuambiana "utaona gari, fulu tinted, ukifika wewe ingia tu siti ya abiria mbele"
siku moja mtajikuta kwenye "makucha ya simba!"

crime-carjacking02.jpg

...muwe makini!
Hahahahahahahah daaahhh
hiyo picha hatari..
mmhh sante mkuu umenichekesha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom