KIPUMPUSWA
Senior Member
- Jul 16, 2011
- 106
- 35
Kuku wa mwanga jioni we acha tu na ugali wa oda.
Fidel banaa...hahahaMi nipo Bar moja inaitwa Master City nipo babu Chenge
Hahaha! Bishanga mie memiss wewe sana!...vitendea kazi atakuja navyo TF,...mmmmmhhhhh haya bana lakini hala hala mti na jicho,hope pharmacy za dodoma zina vitendea kazi vya kutosha!
Upi tena Husninyo?
mi nipo stendi kuu hapa dom. kuna shabibi linaondoka saa 8 kuelekea mpwapwa unaweza kuliwahi.
Yepi tena wakati ndio makubaliano?
Hivi huwa unafanya kazi sangapi manake uko jf masaa 24/7? Source: kiritimba.
karibu mpwapwa.
mi nikija huko ni mwendo wa ukiritimba tu, utaweza?
nishashindwa.
Nashukuru mungu mie sijakusimanga manake ningekoma leo...Aisee nyie balaa.
Mmeshaninukuu huku?
sasa kama mtu hutembeitembei si unaweza kukuta unasimangwa.
karibu mpwapwa.
Nashukuru mungu mie sijakusimanga manake ningekoma leo...
Nahisi hasira zote za wezi wa jf (haswa mmu)ungezimalizia kwangu, lol. Uwe unatembea tembea kidogo kiritimba, utapitwa ati uking'ang'ania mmu muda wote!
Njia panda kuna nyama kama kule mnadani njia ya kwenda msalato/arusha??Mhhh mmenikumbusha nyama choma pale njia panda ya mpwampwa...
Mpwapwa ipi??? ving'awe,ilolo,kikombo, au....be specific bana.karibu mpwapwa.
mimi mbona hunikaribishi? Unaninyanyapaa kisa naishi mpwapwa. Lol
karibu mpwapwa.
Kumbe weye ni MPWA wa MPWAPWA.....:eyebrows::eyebrows::eyebrows: