Karibu Dom .........The Finest

umechelewa kuna ndege moja tu huwa inaondoka sa moja asbh.

Binti hebu njoo mjini umtoe vumbi mgeni!:biggrin:


Mhhh mmenikumbusha nyama choma pale njia panda ya mpwampwa...

Panatamkwa MBANDEE...............lakini Mnadani ni kiboko yao wote!

mi nipo stendi kuu hapa dom. kuna shabibi linaondoka saa 8 kuelekea mpwapwa unaweza kuliwahi.

Kiritimba unaondoka kwenda wapi ............baki tumpokee mgeni



Hakya nani vile......huyu sitaki ubia na mtu pamoja na jitihada za MJ kutaka kuhalalisha swaping policies zake....nasema noooooo....:spy:

Chief waswahili walisema Zimwi likujualo....................; tutakubakishia mkuu!
 
Back
Top Bottom