Karibu Dom .........The Finest

Shukurani!

Kwa JF Sofa DOM KAIZER......................kwa kuwakimbia wageni na kunikamisha U sofa kinyemela! Nime enjoy POSITION yako chief!

Kwa Kamati ya mapokezi HUSINYO....................aiase sikuamini yale "maua" uliyomwandalia mgeni wetu The Finest, sijui na mi nitoke kidogo halafu uje unikaribishe kivileeee!

Naruhusiwa kuchuma UA mojawapo......lol!
 
hahahahaha! Ile ni special offer kwa TF, yaani TF tu. Lol. Maua ukiyachuma utaharibu mazingira mj.
 
Shukurani!

Kwa JF Sofa DOM KAIZER......................kwa kuwakimbia wageni na kunikamisha U sofa kinyemela! Nime enjoy POSITION yako chief!

Kwa Kamati ya mapokezi HUSINYO....................aiase sikuamini yale "maua" uliyomwandalia mgeni wetu The Finest, sijui na mi nitoke kidogo halafu uje unikaribishe kivileeee!

Naruhusiwa kuchuma UA mojawapo......lol!
Mkuu unanitonesha kidonda asiee hahaha....nimeongea na Husninyo nipate eneo la kuwekeza nitakuwa namlipa mrahaba wa aslimia 50 kila mwezi...lol
 
sharti la kupokea wageni kwa miguu isiwe myembamba sana, ikiwa myembamba sana ina tabia ya kupungia watu thru madirishani.

Unaweza ukaitia 'nzuri jirani' ukidhani unapungiwa mkono kumbe ni miguu inapepea tu

nitakupokea kwa mikono na miguu.
 
sharti la kupokea wageni kwa miguu isiwe myembamba sana, ikiwa myembamba sana ina tabia ya kupungia watu thru madirishani.

Unaweza ukaitia 'nzuri jirani' ukidhani unapungiwa mkono kumbe ni miguu inapepea tu

hahahahaha! Kongosho unanimaliza mbavu zangu. Sasa hivi vimiguu vyangu kama chelewa hilo zoezi sitolifanya tena. Lol.
 
Back
Top Bottom