Sure limekuwa chimbo la kukabia walevi wasio na usafiri,pamoja na madada poa.Nilipita pale last week amepaharibu mno kwa ule mwonekano wa sasa
Kile ndio nilikaa baada ya,kupaona pale jau ila nao guest yao being ghali bila sababuSure limekuwa chimbo la kukabia walevi wasio na usafiri,pamoja na madada poa.
Sema pembeni ya kisuma karibu na kituo cha daladala Kuna kibaa kingine
ni classic kiasi chake kinaitwa lovington
Hata mkia na kwato!?Pua ya ng'ombe, jicho, ubongo, pumbu siri hata kwa dawa
Kwato nakula mkia sili
Kwanini hizi tairi hazilingani saizi? Lazima moja iwe kubwa kidogo
Rosti la maspidi
Jike na dumeKwanini hizi tairi hazilingani saizi? Lazima moja iwe kubwa kidogo