Wanaume wengi wanakula vyakula vizuri kuliko familia zao

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu, kuna baadhi ya wanaume wanakula vizuri hata kuliko familia zao.

Katika pita zangu huku na kule huko Duniani nimebaini kuwa wanaume ndio wanaoongoza kula vyakula vizuri vitamu.

Kwani nasema uongo ndugu zangu, ukitaka kuyaona haya basi we jongea tu kwenye migahawa utawakuta.

Wanajikunja kwenye meza yaani kimyaa wakitumbua nyama, samaki na kuku.

Ikumbukwe hapa ni zile nyama michemsho, choma choma na foil.

Picha linaanzia pale ambapo mwanaume anapokwenda kwa chai ya asubuhi.

Hapa wanaume ndio wanapoanza kujichana kwa supu matata na chapati, wengine wanakunywa mitori na chapati.

Ikumbukwe hapo supu hizo ni za nyama au utumbo tena nyama mara nyingi ni ya mbuzi ya ng'ombe sio sana.

Mchana kama dawa utakuta mwanaume anatumbua Tena ugali na nyama choma au wali fulani wa samaki rosti.

Jioni tena akiwa na washikaji wanaongea mambo mawili matatu utakuta anakula Tena, hapa Sasa ndo nyama choma Fulani laini au foili inaliwa.

Sasa njoo kwa wale wenzetu wa mbuzi Katoliki aka kitimoto Hawa nao wanakula ya kuchoma, kavu au rosti hapo na makachimbali mbalimbali yenye mapilipili.

Hapo wanamalizia na vinywaji vyao, siunajua wanasema vinywaji vikali vinaenda na nyama. Ikumbukwe mwanaume huyu hataishia kutumbua chakula huko mtaani tu.

Ajabu ni kuwa mwanaume huyu mwamba akirudi nyumbani anafunua hotpot tena na kutumbua wali maharagwe haaaa! Ukiwacheki wanaume wengi wanavitambi mpasuko kwakuwa wanakula sana.

Muwaache wanawake wawatu waishi miaka mingi nyie manakufa kwakuwa mnakula sana hahaaa!
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu, Kuna baadhi ya wanaume wanakula vizuri hata kuliko familia zao.

Katika pita zangu huku na kule huko Duniani nimebaini kuwa wanaume ndio wanaoongoza kula vyakula vizuri vitamu.

Kwani nasema uongo ndugu zangu, ukitaka kuyaona haya basi we jongea tu kwenye migahawa utawakuta.

Wanajikunja kwenye meza yaani kimyaa wakitumbua nyama, samaki na kuku.

Ikumbukwe hapa ni zile nyama michemsho, choma choma na foil.

Picha linaanzia pale ambapo mwanaume anapokwenda kwa chai ya asubuhi.

Hapa wanaume ndio wanapoanza kujichana kwa supu matata na chapati, wengine wanakunywa mitori na chapati.

Ikumbukwe hapo supu hizo ni za nyama au utumbo tena nyama mara nyingi ni ya mbuzi ya ng'ombe sio sana.

Mchana kama dawa utakuta mwanaume anatumbua Tena ugali na nyama choma au wali fulani wa samaki rosti.

Jioni tena akiwa na washikaji wanaongea mambo mawili matatu utakuta anakula Tena, hapa Sasa ndo nyama choma Fulani laini au foili inaliwa.

Sasa njoo kwa wale wenzetu wa mbuzi Katoliki aka kitimoto Hawa nao wanakula ya kuchoma, kavu au rosti hapo na makachimbali mbalimbali yenye mapilipili.

Hapo wanamalizia na vinywaji vyao, siunajua wanasema vinywaji vikali vinaenda na nyama.

Ikumbukwe mwanaume huyu hataishia kutumbua chakula huko mtaani tu.

Ajabu ni kuwa mwanaume huyu mwamba akirudi nyumbani anafunua hotpot tena na kutumbua wali maharagwe haaaa!

Ukiwacheki wanaume wengi wanavitambi mpasuko kwakuwa wanakula sana.

Muwaache wanawake wawatu waishi miaka mingi nyie manakufa kwakuwa mnakula sana hahaaa...
Wivu tu.
 
Hahahahaha, dah
 
Back
Top Bottom