Kaolewa lakin bado ananisumbua nifanyeje?

Inno laka

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
1,616
583
Wakat ndo nafika mkoa huu,,'nikawa na uhusiano wa mapenz na mdada mmoja,,'nimedumu naye kwa takriban mwaka mmoja tukaja kutengana kwa sababu hakuwa mkweli..,pamoja na kuwa tulikuwa tumeachana naye lakini mawasiliano yalikuwepo kama kawaida.,,mara nying alikuwa akinipigia simu.,akiniomba turudiane.' siku moja nililala mapema akawa amenipigia simu na namba nyingine ambaye n ya bwana ake hyo alomuoa,,'alipoona sipokei simu akanisms alaf sms hiyo alisahau kuifuta..'niliposhituka kama saa tano usiku nikawa nimepiga ile namba daah..'akapokea mme wake plus ile sms akanitelemshia hayo matusi nilitumia busara sikumjibu chochote..'siku moja akanipigia simu anataka turudiane nikamwambia we si umeolewa akakataa katukatu kuwa hajaolewa na bado ananisumbua turudiane.?
 
Umeshasema hakuwa mkweli we vipi.
Zinaa ni haramu, utachomwa moto kwa mungu.
Oeni mpate baraka ya mungu
 
Kama ni kweli na si habari ya kutunga basi huyu sister inaonyesha alikoolewa siko ila ilibidi na inaonyesha bado ameamua kugeuka nyuma alikotoka. May be alikotoka kulikuwa kuzuri zaidi ya alikolazimika kuolewa. Mkuu ili kumsaidia mwanaume mwenzio achana na huyo dada kwani hajatulia kabisa. Ila pia mtolee uvivu mwuulize kwani huko aliko anakosa nini hadi akufuate fuate. Simama kama mwanaume na umtakie mema huko kwa husband wake.
 
bro.'haijatungwa hii kitu cha kwel na huyu demu kaolewa na jamaa mmoja wa uhamiaji..' Manyovu,kg.
 
we nae hujipendi,hao jamaa wa uhamiaji walivo na ngoma hvo,unasubu2 kushare nae penzi..!
 
Kamsemee kwa mama yake
Wakat ndo nafika mkoa huu,,'nikawa na uhusiano wa mapenz na mdada mmoja,,'nimedumu naye kwa takriban mwaka mmoja tukaja kutengana kwa sababu hakuwa mkweli..,pamoja na kuwa tulikuwa tumeachana naye lakini mawasiliano yalikuwepo kama kawaida.,,mara nying alikuwa akinipigia simu.,akiniomba turudiane.' siku moja nililala mapema akawa amenipigia simu na namba nyingine ambaye n ya bwana ake hyo alomuoa,,'alipoona sipokei simu akanisms alaf sms hiyo alisahau kuifuta..'niliposhituka kama saa tano usiku nikawa nimepiga ile namba daah..'akapokea mme wake plus ile sms akanitelemshia hayo matusi nilitumia busara sikumjibu chochote..'siku moja akanipigia simu anataka turudiane nikamwambia we si umeolewa akakataa katukatu kuwa hajaolewa na bado ananisumbua turudiane.?
 
Kama ni kweli na si habari ya kutunga basi huyu sister inaonyesha alikoolewa siko ila ilibidi na inaonyesha bado ameamua kugeuka nyuma alikotoka. May be alikotoka kulikuwa kuzuri zaidi ya alikolazimika kuolewa. Mkuu ili kumsaidia mwanaume mwenzio achana na huyo dada kwani hajatulia kabisa. Ila pia mtolee uvivu mwuulize kwani huko aliko anakosa nini hadi akufuate fuate. Simama kama mwanaume na umtakie mema huko kwa husband wake.

nukuta. kuongezea apo uyo ni malaya tu. In short nilishawai kukutana na binti wa dizaini iyo-iyo. chapa lapa mkuu usikubali kabisa kumludia atakutoa loo mkuu. mwambia anachopata uko ni sawa na kwako fulustopu.
 
Wakat ndo nafika mkoa huu,,'nikawa na uhusiano wa mapenz na mdada mmoja,,'nimedumu naye kwa takriban mwaka mmoja tukaja kutengana kwa sababu hakuwa mkweli..,pamoja na kuwa tulikuwa tumeachana naye lakini mawasiliano yalikuwepo kama kawaida.,,mara nying alikuwa akinipigia simu.,akiniomba turudiane.' siku moja nililala mapema akawa amenipigia simu na namba nyingine ambaye n ya bwana ake hyo alomuoa,,'alipoona sipokei simu akanisms alaf sms hiyo alisahau kuifuta..'niliposhituka kama saa tano usiku nikawa nimepiga ile namba daah..'akapokea mme wake plus ile sms akanitelemshia hayo matusi nilitumia busara sikumjibu chochote..'siku moja akanipigia simu anataka turudiane nikamwambia we si umeolewa akakataa katukatu kuwa hajaolewa na bado ananisumbua turudiane.?

Utoto!
 
Umeshasema uliachana nae kwa sababu hakua mkweli na pia ameolewa sasa wewe unataka nini tena zaidi ya kukata mawasiliano nae na kumove on with your life??
 
Achana nae halafu ni utoto ni kwa nini hukumuoa ww? Huko ameona kwa maana zaidi kwako ni ukuni huenda ana nyege mshindo matokeo yake utabamizwa ww
 
kuwa na msimamo na simamia maamuzi .. usiyumbe kwa tamaa za mwili za muda na za kupita. ungali unampenda ndo maana unajishauri sana .. kuwa na maamuzi kimsimamo
 
Kiswahili tu kinatushinda, hamna haja ya kumcheka yule mama wa CUF Rose Mwalusamba aliyeumbuliwa bungeni kwa kushindwa kuongea kiingereza.

Back
Top Bottom