Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 82
Hapana mazee..ni ktk kuwekana sawa tu..
Kuna mdau alikuwa amesema kuwa binti ni pure black?..mdau mwingine akaendelezea..sasa mie nika-educate tu kuwa mtoto ni chotara...au kuna kweere ?
Kazi pevu leo ,palipo salia mtajaza wenyewe.