Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Mazee picha imenyofolewa au ni PC ninayotumia?
BTW, words of the streets ni kuwa huyu mdada used to be a stripper...(hi hi hi) and also a bisexual!
Mr.West imekula kwake.
Duh! mbona ka' namwona anan'tisha zaidi ya kunivutia?
Ukiona hivyo ujue unamuangalia kwa mtizamo wa ndoa ndoa kwa values za kibongo. Mkuu hizi ni babes kwa ajili ya kujirusha nazo!!!!!!!!
Demit!!!!
lovely smile, with no artificial flavor added.... pure black??
Asante kwa kuliona hilo tuwaelimishe kinadada na kina mama wa hapa TANZANIA
Binti chotara huyo..msiige tembo kwenda haja.
implying???!!! ..... mabinti chotara ndiyo eden ya matamanio yako?
Ahh..BTW Steve 'pundamilia' wana grade ya juu hilo inabidi tulikubali.
Cheers