Kanye West's Chick Amber Rose

Hapana mazee..ni ktk kuwekana sawa tu..

Kuna mdau alikuwa amesema kuwa binti ni pure black?..mdau mwingine akaendelezea..sasa mie nika-educate tu kuwa mtoto ni chotara...au kuna kweere ?

Kazi pevu leo ,palipo salia mtajaza wenyewe.
 
Abdul, kutokana na hizi picha tu, mimi nakaona ni ka - weirdo fulani hivi...i dunno..

He he he..Stop hating mazee..Hebu ona kila mdau anavyotoa flag? over 99% wametoa alama 100/100 ..wewe tu!

NWYS, kukata mzizi wa fitnah itabidi utuletee picha ya naninihii wako tui-assess na ku-cross-check 'mapendeko' yako. ..just a thought.
 
Mlio changia mada hii Lakini shingo mmejioneya hiyo?kwa wale wenye kujuwa (kuelewa)nini hutokea wakati inaposhuhulikiwa shingo (aliyekufa Mungu Amrahamu )
 
He he he..Stop hating mazee..Hebu ona kila mdau anavyotoa flag? over 99% wametoa alama 100/100 ..wewe tu!

NWYS, kukata mzizi wa fitnah itabidi utuletee picha ya naninihii wako tui-assess na ku-cross-check 'mapendeko' yako. ..just a thought.

...unaulizia ulanzi Iringa?!
 
Jamani kama kuna uwezekano wa kuweka selebati wa KITANZANIA na kujadili kiasi gani wameweza kupiga hatua kama hizi za westi,au mnasemaje ?ni ushauri tu .
 
Kina Dada wa kibongo mpo ?mnatutia unyonge mkiwa kimnya katika mada kama hizi, mchango wenu unahitajika ili tujuwe (tuelewe) nini fikra zenu .
 
Huyu demu si inasemekana alikuwa ana make out na Chris Brown kwenye party ya Diddy wikendi iliyopita.
 
mbona hata uzuri wake siuoni mie...nyie wanaume sijui huwa mwaangalia nini, macellulite kibao! infact she is scary!!!
 
mbona hata uzuri wake siuoni mie...nyie wanaume sijui huwa mwaangalia nini, macellulite kibao! infact she is scary!!!

Kheri ya nusu shari kulikoshari kamili niafadhali macellulite alizonazo kuliko kukumbana na Makovu .
 
Kheri ya nusu shari kulikoshari kamili niafadhali macellulite alizonazo kuliko kukumbana na Makovu .

hehehehe... Lakini kusema ukweli mamanzi wa Africa ni wasupa, pia huyu ana descent ya huku huku Africa. we proud of y'all... Lakini I prefer bigger (as in hips, azz n all) than whats presented to ma homey Kanye.
 
Unajuwa mkuu una prefer bigger as in hips, azz n all ni kweli kunakuwa na enjoyment fulani ,lakini hawapo flexble ukilinganisha na hao wengine,kuna mengi ndani yake lakini haitakuwa busara kuyaeleza kwani itakuwa ni kinyume na Madili ya Mtanzania.
 
It depends, kuna wengine wanazo hips na azz lakini wana game like nobodies bizzness, lakini pia kuna wale slim, twawaita flash disc huku Nairrobery (no pun intended) lakini hawana chochote. I prefer pear shaped ones for soooo many reasons, nikianza kuzi list nitamaliza kesho Sonara. Kakini nasikia watoto wakibongo sio mchezo, sijabarikiwa kuwa na mmoja BADO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom