Kanumba na lugha ya Kiingereza

Kama aliyeandika ni Kanumba mi nampa Big up, coz a yr ago ucngeelewa chochote. Hii habari inasomeka na kueleweka bila hata kuirudia. Big up Kanumba, anatumia nguvu kujifunza na inamlipa.
 
Back
Top Bottom