Kanumba na lugha ya Kiingereza

Mimi napita tuu..
Mama uko wapi wee.. Kiswahili ulinifunza Mama. Nikichapia kiingereza haki yangu, kwa kuwa ni lugha ya watu. Nao ukiwaambia waongee Kiswahili itakuwa magumashi kama mimi.
 
Amejitahidi sana! Muammar Gaddafi hajui hata kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ingawa ni kiongozi wa nchi.
Lugha sio kiingereza tu. Gadaffi hajui kiingereza vizuri lakini anaweza kukufundisha kiarabu. Viongozi wengine wanajua vizuri kireno,kijapani,kirusi,kihispania,kijerumani, kifaransa,nk, kuliko wanavyojua kiingereza.
 
Mimi simlaumu Kanumba maana hiyo sio lugha yake........
hata mfaransa anakosea kiingereza vilevile,
Mwingereza nae kijerumani anakikosea vilevile
Ninachoweza kumwambia ni kwamba akiandika kiswahili ni shwari tuu.....
na kama anataka kuandika kiingereza awe makini zaidi!
 
Mkuu are you serious.., hio sentensi ipo awkward..

Ni bora angeandika...

From an early age I have always wanted to be an actor au..
I have always wanted to be an actor from an early age

Mkuu. Sentensi ya Kanumba na hizo za kwako zote si sahihi. Ila hiyo 'an' ikitolewa ikawa mfano ' from early age' au 'from my early age' zitakuwa sawa.

Mkuu from early age is not correct hapo unahitaji article the au an

Kwahiyo from an early is correct from early does not sound correct

Yeeeeees! Wataalam wa kimombo wakiwa kazini........... mpaka nione mshindi leo!
 
Mkubwa ukumbuke Kiingereza ni lugha yetu ya pili, tatu au kwa wengine hataya tatu.
Wachina, Warusi na Wajapan hata Wajerumani na Wafaransa, kwao kutokuzungumza Kiingereza hakuwakoseshi usingizi, nina maana Kiingereza ni lugha, ila sio kipimo cha elimu ya mtu.
Kanumba mie naona kajitahidi kukiongea hata kama kakivunja ile mbaya. Sioni tatizo hapo, ila kama akiongeakiswahili chetu ovyo naukamponda, hapo ntakuelewa.
 
Wengi hatuwezi lakini hakuna mtu anaeshindwa kumuomba mwingine amuandikie.. professionalism

Ndugu yangu hapa TZ kwenyewe ni wangapi wanaoweza kuandika kwa kiwango hicho unachosema cha professionalism? Hapo kwenyewe ameandikiwa na mtu ambaye alimwamini kwamba atafanya kazi hiyo kwa uhakika sasa kimombo chenyewe ndo hicho, jamani tuache tu hiyo ni lugha ya wenyewe, sisi tukomae na Kiswahili chetu tu!!

Ila kama ameandika mwenyewe hatuna budi kumpa hongera, amejitahidi huwezi linganisha na alivyofanya kwenye Big Brother! Grammar yenyewe ni janga la Kitaifa! hamkumsikia Mh. mmoja wakati wa kuomba kura za Bunge la Africa? na huyo sasa ni msomi mwenye Masters sembuse na Kanumba aliyesoma shule zetu za Kata!!!!
 
Amejitahidi sana! Muammar Gaddafi hajui hata kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ingawa ni kiongozi wa nchi.

Mkuu una uhakika? Nilishuhudia siku moja kwenye TV ile siku OAU inakuwa transformed into AU tukio lilifanyikia South Africa jamaa alitoa speech kwa English ila ilikuwa na accent ya kiarabu sana lakini alijitahidi.So nashindwa kuamini mtu anayeweza kutoa speech kwenye public ashindwe kuandika hicho unachokisema!
 
("Hello and welcome,

I've been blessed to live my dream, for quite a while now. From an early age I've wanted to be an actor and to make a difference in people's outlook on life by way of the art of acting.

I've had the priviledge and opportunity to work with some of the best actors on the continent, making movies that in some way or the other influence peoples' lives and outlooks. That being said there are still more movies to be made and many talented people to work with all over the world.

I hope that this site will be a window through which you may take a peek at my life and career. This is the best place to find out about what I'm working on, with whom and a whole lot of other fun stuff I get up to.
Enjoy!"
)

Wadau mimi sio mtaalamu wa kiingereza kwa sana, ila naomba mnisaidie hapo kwenye rangi nyekundu labda mimi ndiye nisiyeelewa. Hii iko kwenye ukurasa wa mbele wa website ya kanumba.

Kanumba, The Great

Duh! Kingledha bwana...Heri mimi sijathema ki-inglish
 
Yeeeeees! Wataalam wa kimombo wakiwa kazini........... mpaka nione mshindi leo!

Mkuu hata mie nimejiweka kando maana haya mambo magumu sana yanataka wito.

Wanatwambia a, e, i, o, u na h zinakwenda na "An", hivyo ni sawa kusema An Edward Lowasa in an house.

Wallah wazungu kiboko!
 
Tatizo katika English kuna matamshi na maandishi hayatumiki kila pahala ama kotekote!! matamshi ukiyaweka katikia maandishi presentation inakuwa wrong. na maandishi ukiyaweka katika matamshi basi uingereza hapo unakuwa na shida inabidi ukate maeneno
 
Kanumba angeweza kuandika kiswahili tu bila wasi wasi. Japanese and chinese films are in their language and they are selling!
 
umombo ni wito wakuu, humu JF tupo kibao tu mbona: cha msingi mkono ufike kinywani:

:katelephone katelephone don't smoke my liver.
:kasimu kasimu usivute mto wangu.
 
Mkubwa ukumbuke Kiingereza ni lugha yetu ya pili, tatu au kwa wengine hataya tatu.
Wachina, Warusi na Wajapan hata Wajerumani na Wafaransa, kwao kutokuzungumza Kiingereza hakuwakoseshi usingizi, nina maana Kiingereza ni lugha, ila sio kipimo cha elimu ya mtu.
Kanumba mie naona kajitahidi kukiongea hata kama kakivunja ile mbaya. Sioni tatizo hapo, ila kama akiongeakiswahili chetu ovyo naukamponda, hapo ntakuelewa.

Ndugu yangu hapa TZ kwenyewe ni wangapi wanaoweza kuandika kwa kiwango hicho unachosema cha professionalism? Hapo kwenyewe ameandikiwa na mtu ambaye alimwamini kwamba atafanya kazi hiyo kwa uhakika sasa kimombo chenyewe ndo hicho, jamani tuache tu hiyo ni lugha ya wenyewe, sisi tukomae na Kiswahili chetu tu!!

Ila kama ameandika mwenyewe hatuna budi kumpa hongera, amejitahidi huwezi linganisha na alivyofanya kwenye Big Brother! Grammar yenyewe ni janga la Kitaifa! hamkumsikia Mh. mmoja wakati wa kuomba kura za Bunge la Africa? na huyo sasa ni msomi mwenye Masters sembuse na Kanumba aliyesoma shule zetu za Kata!!!!

Wakuu You are missing the point Website ni moja ya Platform ya kujitangaza.., Movies za Kanumba zinakuwa Translated (Subtitled in English) Acting yake si kwa manufaa ya watu wanaoongea Swahili peke yake, hapana hata wale ambao wanaongea English... Huwezi kujua huenda Director mmoja akapita kwenye website yake ili aone kama anaweza kumpa kazi., lakini kwenye welcome page kama kuna makosa huenda hio ikawa turnoff.., unapompa mtu kazi inabidi uangalie umakini wake kama anaweza kufanya kazi... Sasa kama anashindwa kuweka page yake katika maelezo fanisi hii inaonyesha uzembe

Mimi sifahamu Kichina lakini siku nikiweka webpage ya Kichina ninamtafuta rafiki ya Kichina ili aweze kunitengenezea..., sidhani kama hata ingem-cost elfu 20,000/= kumtafuta mwalimu wa Primary amtengenezee..

Hii ni kama kwenda kwenye Interview ya Kazi huku unavuta Bangi au una harufu ya pombe (weaknesses sio za kujitangaza ni za kuzificha zisionekane kamwe)
 
Mkuu hata mie nimejiweka kando maana haya mambo magumu sana yanataka wito.

Wanatwambia a, e, i, o, u na h zinakwenda na "An", hivyo ni sawa kusema An Edward Lowasa in an house.

Wallah wazungu kiboko!
Hahahahaha mkuu umenivunja mbavu asee.....khaa! Former Prime Minister an Edward Lowasa......... LOL
 
Back
Top Bottom