Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Jamani Kanumba ndani ya Take one
mbona watu kibao tu wamelelewa na mother zao washua wamekimbia, au kwa sababu celebrity kiaina ndo mnashtuka,...
Ni stori inayogusa kidogo, I mean imenifanya nipate jibu kwanini yupo alivyo
Yupoje? Ananata?
Kuna jamaa niliwahi kukutana naye akaniambia ye ni mshabiki wa filamu za Kanumba.. Sasa kuna siku aliyokutana naye Mango Garden...
Alijaribu kumsalimia,Kanumba akaishia kumuangalia tu,halafu akampotezea... Jamaa alisikitikajee.... Pata picha..
Na mwaka huo huo akafariki, udongo unakula watu sio mchezohe is planning to act movie of this story....
Na mwaka huo huo akafariki, udongo unakula watu sio mchezohe is planning to act movie of this story....
Sema Washua wengi huwa wana back...huwa wanakuwa somewhere na "binocular" wanacheki mchezo unavyoenda coast ikiwa clear wana back..........mbona watu kibao tu wamelelewa na mother zao washua wamekimbia, au kwa sababu celebrity kiaina ndo mnashtuka,...