Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,603 52,310 May 20, 2012 #23 Kanumba alikuwa na nyota kali sana.
ummu kulthum JF-Expert Member Feb 6, 2012 2,785 1,317 May 20, 2012 #24 kijana ameitangaza hii tasnia ya filamu kwa upana sana.tuchukue mazuri yake anastahili kuwa wki
Zuia Sayayi JF-Expert Member Mar 28, 2011 841 133 May 20, 2012 #26 Bigirita said: Muacheni huyu jamaa apumzike bana Click to expand... kwani bado tu wanamsumbua?
O Osama Member May 3, 2011 61 10 May 20, 2012 #27 Tusker Bariiiidi said: Masanilo usisahau kumweka "Marhum" FAIZA FOXY rest in peace Mamaaa,tulikupenda sana nitakukumbuka daima! Click to expand... Ni kweli amekufa au wafanya mzaha?
Tusker Bariiiidi said: Masanilo usisahau kumweka "Marhum" FAIZA FOXY rest in peace Mamaaa,tulikupenda sana nitakukumbuka daima! Click to expand... Ni kweli amekufa au wafanya mzaha?