Kanisa kemeeni Uvunjifu wa Haki, Msipo badilika Makanisa yatabaki Magofu

Hopeless kabisa kwani wewe unaenda kanisani kwa ajili ya mapadri au maaskofu??! Tena uondoke kabisa milele hujui hata maana ya kanisa na kwa nini unaenda kanisani. Umeni bore sana mkuu!!
Waumini tunaomuogopa Mungu tumeanza kuyashitukia makanisa yetu
 
Mi nilishastaafu.....Kuna kasehemu kwenye misa huwa kanasema "........hasa rais wetu mpendwa......"

Hapo ndipo nilipoamua kustaafu kabisa maana nakuwa nakufuru nikiwa mahali patakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani wa Tanzania kawateka viongozi wa makanisa na misikiti yote, yaani ameyateka madhehebu yote, kawafanya vipofu wameungana na aliyelaaniwa hadharani na kwa kutomkemea kwao.
 
Ni kiri wazi mimi nina imani kali sana unapozungumzia Mungu au Yesu kristo, Ni moja kati ya watu ninaoamini Mungu yupo na sisi sote ni mali yake.

Lakini taratibu nimeanza kuwa mtoro kanisani, si kwamba siombi Mungu. Hapana, Namwomba Mungu lakini nikiwa nyumbani au popote nitembeapo kimya kimya.

Kwanini nasema imani yangu imeporomoka juu ya makanisa. Nimeshuudia viongozi wa dini wakila kuku ikulu huku wakiambiwa na Rais mikutano ya ndani haijakatazwa nao wakashangilia bila ku challenge chochote, Huku chadema wakiwa wamekatazwa kufanya mikutano yao ya ndani mara nyingi na Ccm wakiifanya kila uchwao tena mpaka ya adhara.

Hili viongozi wahubiri haki hawalioni, Mtakumbuka Rais mara kadhaa ametuambia mikutano ya ndani ni ruksa lakini imebaki ruksa ya mdomo, Pale vyama pinzani wakitaka kuifanya inasambaratishwa.

Hawa viongozi wa dini hawaoni? Nini kimewapofusha kiasi kikubwa namna hii, Maandiko yamebadilika? Leo nimeshuudia ACT wakinyimwa kufanya mkutano wao wa ndani, Tena kwa sababu dhaifu mno aliyoitoa mambosasa. Lakini Lipumba na ndugai wakiwa na mikutano aina hiyo hiyo ikipatiwa baraka zote na polisi.

Hizi ndimi mbili na ukimya juu ya dhuluma na ubaguzi ukiendelea, kwa viongozi wangu wa dini.Nimalizapo kwaresma na kanisa kwangu litakuwa bye bye. Nitalipinga hata kwa maombi.”

Nitaendelea kumwomba Mungu wangu bila kwenda kuwasikikiza Mapadri au Maaskofu wasioweza kukemea dhuluma na kutete haki za waamini.

Na hili sio kwangu tu, Kanisa lisipo badilika yatabaki kama makumbusho kama huko ulaya, Au watabaki vikongwe tu.

Ni Yesu yupi mnamuhubiri kama yote yatendekayo hamyaoni?

Hivi dhambi ni kuzini tu? Badilikeni kabla waamini hawajabadilika.
Kuna askofu Tapeli mmoja wa WAPO international niliacha kumsikiliza, kuna Sikh alinichefua kwa mahubiri ya kipumbavu akidhani watu wote in mazwazwa, anajidai ana roho mtakakatifu. Bure kabisa haya makanisa
 
Soma waraka wa Kwaresima wa Baraza la Maaskofu wa kanisa Katoliki wa mwaka jana. Ulikemea ubinywaji wa demokrasia, kupotea watu na kutekwa na watu wasiojulikana.

Ni ule Waraka ambao Polycarp Pengo aliupinga na kuwageuka maaskofu wenzake.

Ukishamaliza kuusoma karibu kwenye kanisa Katoliki na kama upo hapo D'Salaam basi ameshakuja aliyeshiriki kuuandaa ule Waraka, Askofu Ruwa'ichi.
Na waraka wa kwaresma wa mwaka huu? Wameendelea kukemea au wameridhika hali imekuwa shwari?
 
nasema kweli tena naaapa kwa mungu mashekhe wengi wa kiislamu tanzania ni 0 zero hawana imani na dini kabisa hawamuogopi mungu wanathamini pesa kuliko dini na unapo muona akisimama na kuongea msikitini utafikiri kweli huyu ni mcha mungu kumbe bure nasikitika sana na mashekhe hawa wa tanzania wengine ni wapiga ramli usione kavaa kanzu ukajua ni mcha mungu ukimuona jinsi anavyoongea na matendo yake tofauti na kivazi kile ni cha heshima ndio maana waliomba mvua haikujibiwa: dua ya mvua inajibia pale pale ukimaliza tu kuomba unaona wingu sasa mvua zinaanza kuja baada siku tano. Masheikh na waumini acheni tamaa bora ukae kimya
 
Hopeless kabisa kwani wewe unaenda kanisani kwa ajili ya mapadri au maaskofu??! Tena uondoke kabisa milele hujui hata maana ya kanisa na kwa nini unaenda kanisani. Umeni bore sana mkuu!!

You are the victim of brainwash
 
Washauri viongozi wako muanzishe makanisa na misikiti itakayokuwa ikifanya yatakayokuwa yakiwafurahisha CDM. After all ukihudhuria ama kutohudhuria kanisani ni nani atajali? Labda family yako kama unayo.

Tatizo lako unaangalia urefu wa pua yako tu, did he mean it literally? it is one way of conveying the message of dissatisfaction
 
Tena umenena umenena Sawa kabisa.Watanzania aisee.Why this?
Nchi imekuwa ya hovyo kabisa,watu wanakandamizwa halafu et viongoz wa dini wapo na wanashirikiana na wakandamizaji.

Naiona Algeria na Venezuela Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo kukandamizwa tu, mpaka watu wananyanganywa pesa zao kimya kimya kwenye account za benki mpaka wanaikimbia nchi especially usipokuwa mwana ccm.
 
Ni kiri wazi mimi nina imani kali sana unapozungumzia Mungu au Yesu kristo, Ni moja kati ya watu ninaoamini Mungu yupo na sisi sote ni mali yake.

Lakini taratibu nimeanza kuwa mtoro kanisani, si kwamba siombi Mungu. Hapana, Namwomba Mungu lakini nikiwa nyumbani au popote nitembeapo kimya kimya.

Kwanini nasema imani yangu imeporomoka juu ya makanisa. Nimeshuudia viongozi wa dini wakila kuku ikulu huku wakiambiwa na Rais mikutano ya ndani haijakatazwa nao wakashangilia bila ku challenge chochote, Huku chadema wakiwa wamekatazwa kufanya mikutano yao ya ndani mara nyingi na Ccm wakiifanya kila uchwao tena mpaka ya adhara.

Hili viongozi wahubiri haki hawalioni, Mtakumbuka Rais mara kadhaa ametuambia mikutano ya ndani ni ruksa lakini imebaki ruksa ya mdomo, Pale vyama pinzani wakitaka kuifanya inasambaratishwa.

Hawa viongozi wa dini hawaoni? Nini kimewapofusha kiasi kikubwa namna hii, Maandiko yamebadilika? Leo nimeshuudia ACT wakinyimwa kufanya mkutano wao wa ndani, Tena kwa sababu dhaifu mno aliyoitoa mambosasa. Lakini Lipumba na ndugai wakiwa na mikutano aina hiyo hiyo ikipatiwa baraka zote na polisi.

Hizi ndimi mbili na ukimya juu ya dhuluma na ubaguzi ukiendelea, kwa viongozi wangu wa dini.Nimalizapo kwaresma na kanisa kwangu litakuwa bye bye. Nitalipinga hata kwa maombi.”

Nitaendelea kumwomba Mungu wangu bila kwenda kuwasikikiza Mapadri au Maaskofu wasioweza kukemea dhuluma na kutete haki za waamini.

Na hili sio kwangu tu, Kanisa lisipo badilika yatabaki kama makumbusho kama huko ulaya, Au watabaki vikongwe tu.

Ni Yesu yupi mnamuhubiri kama yote yatendekayo hamyaoni?

Hivi dhambi ni kuzini tu? Badilikeni kabla waamini hawajabadilika.
Brother nilikuasijapatakumwona shetani lkn kupitia hawaviongozi wadini nimeweza kumwona shetani halisi. kwani wanasifa zote zashetani niwaongo niwanafki wanapenda anasa daima wapoupande wakaisari hawaoni maovu waumini waotunayo fanyiwa.yaani sadaka ndio lengolao.kanisa sikuhizi limekua pango lawanyanganyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hopeless kabisa kwani wewe unaenda kanisani kwa ajili ya mapadri au maaskofu??! Tena uondoke kabisa milele hujui hata maana ya kanisa na kwa nini unaenda kanisani. Umeni bore sana mkuu!!

Mnaenda kanisani kumuomba Mungu tu, je Mungu wenu ukimuomba ukiwa nyumbani hasikilizi?
 
Nimeshuudia viongozi wa dini wakila kuku ikulu huku wakiambiwa na Rais mikutano ya ndani haijakatazwa nao wakashangilia bila ku challenge chochote, Huku chadema wakiwa wamekatazwa kufanya mikutano yao ya ndani mara nyingi na Ccm wakiifanya kila uchwao tena mpaka ya adhara.

Hili viongozi wahubiri haki hawalioni, Mtakumbuka Rais mara kadhaa ametuambia mikutano ya ndani ni ruksa lakini imebaki ruksa ya mdomo, Pale vyama pinzani wakitaka kuifanya inasambaratishwa.

Hawa viongozi wa dini hawaoni? Nini kimewapofusha kiasi kikubwa namna hii, Maandiko yamebadilika? Leo nimeshuudia ACT wakinyimwa kufanya mkutano wao wa ndani, Tena kwa sababu dhaifu mno aliyoitoa mambosasa. Lakini Lipumba na ndugai wakiwa na mikutano aina hiyo hiyo ikipatiwa baraka zote na polisi.

Nitalipinga hata kwa maombi.”

Viongozi gani wa madhehebu ya dini unaowasema - wa karne ya 21?

Kwa mtizamo wangu naona kama dhambi hivi sasa inakemewa na asasi za kiraia na vyama vya siasa kuliko madhehebu ya dini - mnaoenda kanisani nendeni - MUNGU WA BABU ANANITOSHA!
 
Back
Top Bottom