Kanisa hili liko wapi?

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,911
Tazama tangazo hilo hapo chini Je hilo kanisa ina maana wote lugha ya kiingereza ndio iko gongana? ni vema kama kuna mtu anafahamu lilipo awaambiye waliondoe maana halileti picha njema kwa wampendao na kumkiri MUNGU.:A S thumbs_down:
 
Asante kwakutuletea huku katika JF Maana niliikuta katika facebook nikacheka sana!!!Lakini juu ya yote nikukosa vifaa!!na watalaamu wa drawing,painting.atc
 
Nenda pale Namanga kona ya msasani road kutokea old bwaga road. utakutana na kibao cha jinsia hiyo pia.

Nadhani wamedhani wanafupisha ila hiyo acronym ni AIBU TUPU.

Mungu atuondolee dhambi akilini mwetu
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:

Mambo ya kubana matumizi haya
 
Tazama tangazo hilo hapo chini Je hilo kanisa ina maana wote lugha ya kiingereza ndio iko gongana? ni vema kama kuna mtu anafahamu lilipo awaambiye waliondoe maana halileti picha njema kwa wampendao na kumkiri MUNGU.:A S thumbs_down:

Kama msomaji anayemcha Mungu basi lile neno "ASS" ataelewa ni kifupi cha Assemblies. Mbona kuna namba za magari zina herufi "ASS" je na zenyewe zitolewe? Hapa tatizo ni dogo kwa mwandishi baada ya kusahau 'a period' kuonesha kuwa hicho ni kifupi. Pia lugha inaendana na context! Aliyeshikwa na shetani basi yeye atashikilia maana moja tu.
 
Back
Top Bottom