Kanisa Anglikana dayosisi ya Dsm yapata Askofu mpya anayemrithi Dr Mokiwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Kanisa Anglikana dayosisi ya Dsm leo limefanya uchaguzi wa Askofu wake na kufanikiwa kumchagua Padre Sosthenes kuwa Askofu mpya anayechukua nafasi ya Dr Mokiwa aliyetumbuliwa. Source mimi mwenyewe kutoka ukumbi wa Kanisa kuu hapa St Alban - Upanga!
 
Watagombana tu,
 
Anglikana wamejaa waswahili (wangoni na wasambaa) +kanisa duni kifedha watatifuana muda si muda.
 
Suala sio uswahili Bali ni asili ya kanisa au makanisa yote ya protestant ambapo Uhuru wa kuongea na kuhoji ni kitu cha kawaida kuliko huko uliko ambapo hakuna Uhuru was kuhoji, kila kitu ni tawire utafikiri uko kwa mganga wa kienyeji.
 
Umenena vema mkuu!
 
Mi Mu-Anglican kindaki ndaki na mswahili ndo maana nawasemea waanglikana wenzangu
 
Kwa hiyo hatutasikia tena migogoro ,Mara ooo huyu kauza kiwanja cha kanisa, Anglicans migogoro mingi ni ya kimaslahi So sad dini kuwa na mivutano inayosababishwa na Pesa
 
Mkuu mali zote za Kanisa zitarejeshwa na kuna watu watafungwa safari hii!
 
Kwa hiyo hatutasikia tena migogoro ,Mara ooo huyu kauza kiwanja cha kanisa, Anglicans migogoro mingi ni ya kimaslahi So sad dini kuwa na mivutano inayosababishwa na Pesa
Mapadri wa kianglikana (mmoja wao ndo huwa Askofu) choka mbaya akipata upenyo lazima apige
 
Back
Top Bottom