Kanda ya Ziwa na PhD Feki

Status
Not open for further replies.
Sina uhakika kama ni feki kweli! ila naamini za akina Dr.Mahiga prof.Mahalu Dr.Hosea prof.Tibaijuka Dr.Matumaini Dr.Nsekela prof.Migiro Dr.Mwendamkono Dr.Ndalichako Dr.Masha etc ni original!
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?

Sasa wewe una visa na sisi. Shauri lako.
 
Sina uhakika kama ni feki kweli! ila naamini za akina Dr.Mahiga prof.Mahalu Dr.Hosea prof.Tibaijuka Dr.Matumaini Dr.Nsekela prof.Migiro Dr.Mwendamkono Dr.Ndalichako Dr.Masha etc ni original!

h aha ha ...

utaambiwa kuwa Prof Safari tu ndiye legit
 
Sina uhakika kama ni feki kweli! ila naamini za akina Dr.Mahiga prof.Mahalu Dr.Hosea prof.Tibaijuka Dr.Matumaini Dr.Nsekela prof.Migiro Dr.Mwendamkono Dr.Ndalichako Dr.Masha etc ni original!

Mahiga-genuine doctorate from Canada

Hosea?..nasikia ni ya kwenye mdegree. I dunno

Prof. TIBAIJUKA, she is in the League where she belongs

Prof. Migiro? au unasema mke wake Roza wa UN? she has a genuine PhD from Konstanz Deutschland.

Dr Masha....baba yake waziri Masha? I guess he has one from Illinois somewhere in Chicago.

The rest sijui...
 
Salama tu mkuu, nilikwenda Tel Aviv kwa research moja hivi iliyonikeep busy kiaina.

Huyo Tumain nitapendekeza aweke matokeo ya kidato cha nne kwa miaka 10 iliyopita ya kinondoni muslim (na ndugu zake) kisha yalinganishwe na yale ya wana sunday school kisha ifanyike projection ya nani yuko likely kuwa na PhD fake....

hahahahahahaah..this is hilarious indeed!
 
Masanja, ya Hosea ni british columbia university kule canada! Yap prof.Migiro mumewe na mama UN, nasikia wakitoka UN wataenda kunalizia ngwe saut. Naona ndo wanamalizia ukarabati wa nyumba yao pale isamilo.
 
hahahahahahaah..this is hilarious indeed!

ha ha ha ha

Nakuambia...

weka matokeo ya seminari kumi tu kisha yalinganishe na shule kama kinondoni muslim ili uone tofauti kati ya madrassa na sunday school!

Tumaini hawezi kukubali hii challenge hata siku moja
 
Baadae mtasema mbona wenye PhD feki wengi wao ni Wa Kristo? waislam ni wachache wenye vyeti feki?..

Ukweli unabaki kuwa, wenye PhD na vyeti feki hapa Tanzania ni wengi, sema tu wengine bado hawajashtukiziwa. sidhani kama kuna correletion yoyote kati ya PhD feki na usukuma au ukiristo, I may be wrong!
 
Waseme mara ngapi

Tumain said:
Common denominator wote wametoka st. joseph university au ni wakristo wapende vya kunyonga na kupendelewaCommon denominator wote wametoka st. joseph university au ni wakristo wapende vya kunyonga na kupendelewa
 
Kwa msaada wa Mwandishi mmoja wa habari kutoka Mwanza, nimefanikiwa kupata nakala hii ya veti vya Diallo, nimeamua kuviweka hapa ili tuendelee na mjadala ila picha hiyo ya uhitumu pia imeambatanishwa katika Excutive Profile yake Diallo ambayo amekuwa kiitumia kuombea ubunge ingwa mwaka wake wa kuzaliwa na majina ni utata mtupu.
 
Attachments

  • D.1.jpg
    D.1.jpg
    356.2 KB · Views: 47
  • D.2.jpg
    D.2.jpg
    187.3 KB · Views: 55
  • D.3.jpg
    D.3.jpg
    224.4 KB · Views: 56
Nimeangalia vyeti hivyo.
Shame advocate Mafuru& Mafuru amecertify kuwa ni vyeti halali.

Sina shaka na Phoenix ,ambacho ni fake cha kutoa degree online.

Itabidi Mafuru& Mafuru Advocate wajibu kama kweli ana Phd ya kutoka Newcastle university Australia!
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
6. Juma Ponda Mali (jpm)
 
Kuna ingine ya maganda ya korosho nayo ni fake au halali?? Maana ina shared na watu 2 kwa kila kitu!!
 
Mzee wangu Jasusi naona umeweka kigingi kigumu; hata hivyo kila nikiangalia tena statistics, naona kama ni kweli kuwa kanda ya Ziwa iongoza kwa hizo Ph.D feki. Kumbuka kuwa mtoa mada hakuunganisha wengine kama Profesa Waryoba wa mzumbe na Dr. Deodatus Kamala.

Mimi ninadhani kuwa tatizo hilo la Ph.D feki lilianzishwa na huyo Profesa Waryoba hapo Mzumbe kwa vile ndiye aliyekuwa Mkuu wa Chuo. Baada ya hapo ndipo feki hizo zikasambaaa na kuingia umoja wa vijana kwa kupitia akina Nchimbi na Kamala. Huko Umoja wa Vijana zikawaambukiza akina Masabauri na Nangale. Masabauri yeye akamwambukiza kaka yake Mahanga, wakati Nangale naye akamwambukiza ndugu yake huyu Dialo. Kwa mtindo huo wa kuambukizana, inawezekana idadi ikazidi kuongezeka kwa kasi zaidi katika hiyo kanda ya Ziwa.
Prof Mtabaji mwenyekiti wa TCU na Prof Mahalu mwenyekiti wa JK cardiac institute nao utasema wana Phd fake? In short watu wa kanda ya ziwa, Wasukuma, wakerewe, wazinza na wahaya ndio wenye akili nchi hii sema tu hawakujikita sana kwenye siasa na biashara badala yake walijikita kwenye shule. Angalia maprofesa wengi na experts wa vyuo vikuu ktk medicine na Engineering wanatokea wapi!
 
Hiyo post uliyokwoti ni ya miaka saba iliyopita wakati wewe umejiunga JF miaka miwili tu iliyopita. Kabla ya kuniuliza swali hilo, ni afadhali ungepitia tena kumbukumbu zinazopatikana ujue mazingira yaliyosababisha thread hiyo kuanzishwa. Ilikuwa inahusu watu wengi wenye Ph.D. feki, siyo wasomi wa nchi hii. Kama unavyotambua, Makongoro Mahanga ambaye naye aliongelewa katika thread hii amelipotiwa siku za hivi karibuni akiikimbia hiyo Ph.D feki yake.

Kwa taarifa yako, wakati mimi nasoma chuo kikuu cha dar es Salaam, dean wangu alikuwa ni Prof Masuha ambaye ametokea kanda ya Ziwa, na wakati huo Dean wa Law alikuwa ni Prof Mahalu ambaye naye ni wa kanda ya ziwa. Director wa Muhimbili alikuwa ni Prof Sarungi, na dean Faculty of Medicine alikuwa ni prof Masele ambao wote ni wa kanda ya ziwa. Kulikuwa na mabosi wengi sana maprofesor wa kutokea Kagera ambayo ni kanda za ziwa. Mada yetu haikuhusu wasomi halali kama hao bali ilihusu takwimu zinazoonyesha veyti vingi feki vinatokea huko. Inawezekana kuwapo kwa wasomi wengi katika kanda hiyo kunasababisha vihiyo wengine nao watafute namna ya kujinyanua kwa njia za mkato.
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
Una uhakika hujamsaha mtu kweli? Uniwie Radhi mimi nadhani list yako in Mapungufu kadha wa kadha!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom