Kanda ya Ziwa na PhD Feki

Status
Not open for further replies.
kabila lililo na watu wengi Tanzania ni wagogo, wanyakyusa,wadengereko, wakwere,wazaramo,wahehe, wakinga, wafipa na wahindi. Nami nashangaa sana wasukuma ni wachache sana na ndiyo wanaongoza kwa hizo feki. wengine wote PHD zao ni za kweli. Tuwasaidieje wasukuma hawa waweze kupata PHD za kweli?
 
Ndugu naona tunataka kuipeleka jamii mahala ambapo siko hii mada itageukia ukabila na mambo mengine ambayo yatachochea machafuko ndani ya forum tuwe makini sana na mijadala ya namna hii inawezekana mwanzishaji anajaribu kuchota mawazo ya watu

Hata hivyo TCU ndio yenye uwezo wa kudhibitisha haya yote hicho ndio chombo chenye mamlaka hayo
 
Ninakusikia ndugu yangu. Lakini hawa Wasukuma naoni ni uvivu tu mbona shuleni wengi tu walikuwa na akili?

Jasusi, Mkuu heshima mbele, wewe unazungumzia wasukuma wa enzi zenu za Standard Twelve na kufanya Cambridge ; hawa wa siku hizi wamesoma shule za VIDATU kwahiyo wao mwendo wao ni mdundo wanataka short-cut tu!! Athari zake kwa Taifa letu ni mbaya sana both in the short term and in the long-run; niliwahi kumsikia mbunge mmoja wa Afrika Mashariki toka Tanzania akichangia hoja kwa kiingereza nilishangaa kuambiwa eti yule bwana ana doctorate , no wonder yumo katika watu wanaosemwa kuwa wana degree feki in actual fact hawa jamaa wanaiabisha nchi yetu yenye wasomi mahili lakini wanazibiwa na hawa mafisadi wa elimu ambao ni VIHIYO!
 
Akashube,kanda ya Ziwa inaweza kuwa na Phd nyingi halali ,at the same time kuwa na Phd feki .Sioni hoja yako.

Kwa hiyo kwa takwimu ulizonazo kanda ya ziwa inaongoza kwa phd feki????

Au una ishu gani wewe na kanda ya ziwa na wasukuma?
 
Hakuna uhusiano wowote wa mtu kuwa Msukuma na kuwa na PhD feki. Sielewi hoja unayotaka kuijenga hapa. Angalia pia wote ni wakristo, unasemaje juu ya hilo? Kwanini hukuandika wakristo na PhD feki? Hilo ni tatizo la mtu bianafsi maana hawakutumwa na kabila. Jenga hoja yenye mantiki

Angeweza pia kuandika WANAUME NA PhD feki kwani wote waliotajwa ni wanaume.
 
kabila lililo na watu wengi Tanzania ni wagogo, wanyakyusa,wadengereko, wakwere,wazaramo,wahehe, wakinga, wafipa na wahindi. Nami nashangaa sana wasukuma ni wachache sana na ndiyo wanaongoza kwa hizo feki. wengine wote PHD zao ni za kweli. Tuwasaidieje wasukuma hawa waweze kupata PHD za kweli?

Tupe source ya takwimu zako kuhusu makabila yenye watu wengi.
 
kabila lililo na watu wengi Tanzania ni wagogo, wanyakyusa,wadengereko, wakwere,wazaramo,wahehe, wakinga, wafipa na wahindi. Nami nashangaa sana wasukuma ni wachache sana na ndiyo wanaongoza kwa hizo feki. wengine wote PHD zao ni za kweli. Tuwasaidieje wasukuma hawa waweze kupata PHD za kweli?
Mubi,
Hapana. Unless katika miaka ya karibuni Wagogo wamezaana kama sungura.
Wasukuma ni 25% ya population ya Tanzania nzima. Hii ni undisputable.
 
Jasusi ,u kiangalia Nagu ,Nchimbi au Mkulo hawatoki Kanda moja au kabila moja,angalia
idadi ya hawa wasukuma wenye Phd feki,ulinganishe na watu wote wenye hizi Phd tanzania,utakuta wanaongoza

Tutake radhi tafadhali...Kanda ya Ziwa ni wasukuma pekee?,nani kakwambia
 
hoya hoya hoya ... mpambano uanze sasa kati ya watu wa kanda ya ziwa na wale wa baharini ili kujua nani ana PhD nyingi "halali"
 
hoya hoya hoya ... mpambano uanze sasa kati ya watu wa kanda ya ziwa na wale wa baharini ili kujua nani ana PhD nyingi "halali"

Si umeona Tumaini anakuja na gia kwamba wakristu ndo waongoza kwa PHD feki(eti kwa kuiangalia orodha hiyo hapo juu)...Huyu jamaa yeye na udini damdam...Btw,habari za masiku mkuu,ulipotea sana
 
Si umeona Tumaini anakuja na gia kwamba wakristu ndo waongoza kwa PHD feki(eti kwa kuiangalia orodha hiyo hapo juu)...Huyu jamaa yeye na udini damdam...Btw,habari za masiku mkuu,ulipotea sana

Salama tu mkuu, nilikwenda Tel Aviv kwa research moja hivi iliyonikeep busy kiaina.

Huyo Tumain nitapendekeza aweke matokeo ya kidato cha nne kwa miaka 10 iliyopita ya kinondoni muslim (na ndugu zake) kisha yalinganishwe na yale ya wana sunday school kisha ifanyike projection ya nani yuko likely kuwa na PhD fake....
 
Mzee wangu Jasusi naona umeweka kigingi kigumu; hata hivyo kila nikiangalia tena statistics, naona kama ni kweli kuwa kanda ya Ziwa iongoza kwa hizo Ph.D feki. Kumbuka kuwa mtoa mada hakuunganisha wengine kama Profesa Waryoba wa mzumbe na Dr. Deodatus Kamala.

Mimi ninadhani kuwa tatizo hilo la Ph.D feki lilianzishwa na huyo Profesa Waryoba hapo Mzumbe kwa vile ndiye aliyekuwa Mkuu wa Chuo. Baada ya hapo ndipo feki hizo zikasambaaa na kuingia umoja wa vijana kwa kupitia akina Nchimbi na Kamala. Huko Umoja wa Vijana zikawaambukiza akina Masabauri na Nangale. Masabauri yeye akamwambukiza kaka yake Mahanga, wakati Nangale naye akamwambukiza ndugu yake huyu Dialo. Kwa mtindo huo wa kuambukizana, inawezekana idadi ikazidi kuongezeka kwa kasi zaidi katika hiyo kanda ya Ziwa.
jee ni wale Malecturer wa Mzumbe ambao wanafika tisa ni kabila gani?
hapo umoja wa Vijana umemsahau Norman Siggala mkuu wa wilaya ya Hai ambaye naye ni DR FAKE. MSIMSAHAU MREMA WA TLP NAYE ANA DIGRII FEKi.
 
Si umeona Tumaini anakuja na gia kwamba wakristu ndo waongoza kwa PHD feki(eti kwa kuiangalia orodha hiyo hapo juu)...Huyu jamaa yeye na udini damdam...Btw,habari za masiku mkuu,ulipotea sana
ilibidi ajifiche kwani ule moto aliowashiwa na Mtanzania ilikuwa noma tupu na thread ikafutwa kwa haraka. muulize Mtanzania atakupa habari zake.
 
ilibidi ajifiche kwani ule moto aliowashiwa na Mtanzania ilikuwa noma tupu na thread ikafutwa kwa haraka. muulize Mtanzania atakupa habari zake.

Bwa ha ha ha,

Kinamzuia nini mtanzania kuwasha tena huo moto (kama upoooo!!!!).
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom