Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,668
- 9,521
Ndugu zangu, huu ni mkasa wa kweli umemkuta jamaa yangu. Mkewe alikuwa na mahusiano ya siri na kizee cha kiitaliano, ili alifaidi penzi na pesa za kibabu, yule mdada alimtoroka mumewe na kumkashifu kuwa yeye (mwanaume) ni masikini, na hakuolewa ili apate shida. Yule bwana hakuangaika kumtafuta aka-move on pamoja ilikuwa ngumu kusahau kwani walishakaa kwenye ndoa miaka mitav na wana mtoto wa kike tayari.
Yule mzungu akawa anarudi kwao Italy, akaamua kuondoka na yule dada ila kwa sharti kuwa anataka yule mtoto abadilishwe jina la ukoo apewe la yule mzungu. Bidada kuona anaenda ulaya akakubali, wakafanya taratibu zote na wakaenda italy. Yanayomkuta huko nitawaletea mkasa huu kwenye part two, dont miss!