Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
"Leo hii tunajivunia ‘vimaendeleo' vya simu za mkononi na ‘internet', wakati maisha ya watu wetu katika takwimu mbalimbali hayajanyanyuka sana. Leo watawala wetu wanataka tuimbe sifa za maendeleo wakati walioendelea ni wao na vizazi vyao."H
Hapo tena umenikumbusha juu ya simu.
Sisi Watanzania kweli Bichwa la mwenda wazimu.
Kampuni za Simu Tanzania zinatunyoa kwa kupunyua unywele mmoja mmoja kwa mikono nasi twachekelea.
Simu za Mkononi Tanzania ni kama Kukomit Suicide.
Eti kwa vile tu Simu yanoga sukari tuko radhi kuinywa na kuendlea kuganga maradhi ya tumbo na kuhara hadi kifo kiingilie kati.
kadi ya Shilingi 1000 inakuwezesha kuongea kwa muda wa Dakika si zaidi ya 3.
Tuseme unaunua kadi ya tshs 5000 kila siku maana yake utaongea dakika 15.
5000X30 =150,000.00 hizo kwa Rate ya kubadili dola ni sawa na $140.00 hivi.
Sijui ninchi gani duniani wanalipia simu fedha yote hiyo na kuongea dakika 15 tu kwa siku au dakika 350 kwa mwezi?!?!
Inawezekana mimi fala kwa sababu nimekaa sana huku majuu, lakini bado haiingii akilini kuona mtu mwenye kipato cha Tshs 300,000 kwa mwezi akiilipa kampuni ya simu ya mkononi nusu ya kipato chake chote!!!!??
Lakini kwa vile simu ya mkononi inaongeza ujiko na ni kipimo cha maendeleo na uleo ni ujuha na wendawazimu mkubwa kuingilia kati na kuwaamsha watanzania.