Kampuni ya PR inayodaiwa kutumiwa kupitisha fedha "za" Jairo itajwe...

Sasa hivi tutaijua tuu. Imenikumbusha title moja,one of my favourites wakati huo kwenye vile vitabu vya "JIFUNZE KUSOMA". Nadhani inaitwa DUNIA HAINA SIRI. Inamuhusu mfalme aliye kuwa na masikio ya punda - akiyaficha kwa kilemba maisha yake yote - na mtumishi mmoja aliyeijua siri hii kwa muda mrefu.
Mnaweza tu kutusaidia kuijua sooner rather than later.
Chungulia PM inbox yako
 
..wakuu kama ndiyo hii tunaisikia basi ..basi FINA MANGO hausiki..hii inayotajwa ..na ya yule..ambaye ndugu yake mmoja alikuwa mtt c ridhiki..na ofisi zao ziko pale VICTORY /MAKUMBUSHO..mayb wawe wamehama


quote_icon.png
By CAMARADERIE
Muulizeni Fina Mango




 
Jamani kama hiyo kampuni ya PR inajulikana si itajwe tu! Lakini mimi nina hofu moja kuwa haiwezekani kampuni ipewe tenda ya kutoa rushwa. Kama hii itakuwa kweli basi ufisadi utakuwa umefikia kiwango kingine; kama signature yangu inavyosema; wakati wengine wanatumia ulazima kubuni vitu vya kusaidia maisha yao, sisi tunatumia ulazima kuvumbua namna na mbinu za kulifisadi taifa letu sana.

So, hiyo kampuni ni kampuni gani...?
si imeshasemwa ni executive Solution au?
 
Back
Top Bottom