Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,825
5,764
Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini.

Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.

E612D23A-730B-4508-838B-0A1B1819555D.jpeg
 
Mabasi 19 tu kwa kampuni yenye waendeshaji makini iwe ndio sababu ya kufanya sherehe kweli? Mbona kuna nchi moja jirani iliwahi kuingiza mabasi 200 ya aina hiyo bila mbwembwe na vigelegele? :oops: 🤔 🤔
 
Vituo vya Meru vinaonesha vina management ya kueleweka.

Kipo pale Kahama ukipita utashangaa parking ilivyochafuka malori haijalishi ni saa ngapi.
 
Hii biashara yaonekana ni nzuri SGR ijipange haswaaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukiongea na wamiliki wa mabasi wanakwambia ni biashara pasua kichwa. Hata akikupigia mahesabu kwenye karatasi mkiwa wote utakubaliana na hoja yake.
Kwa mfano anakwambia ili basi lianze kuleta faida ni miaka miwili mpaka mitatu.
Cha kushangaza unakuta kila mwaka anaongeza mabasi tu.
 
Back
Top Bottom