Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

Nawashukuru sana kwa kutusaidia watanzania tunaotaabika kutafuta ajira mimi nimewatumia CV yangu kama siku tatu nne hivi zilizopita naamini mtaifanyia kazi na mtanijibu kama nastahili kupata kazi kwenu au la!

Asanteni Sana!

Unawashukuru kwani umeshapata hiyo kazi?

Wewe ni mmoja wao huna lolote. Hicho ki-blog chenu kimejaa vitangazo vya kurudia mlivyovikopi kwenye site nyingine sasa mnatafuta kwa nguvu watu wa kukitembelea ili mpige michuzi.

Bado nawapa pole kwa kukosa akili, kama umeshatuma CV yako ina maana unayo anwani yao, vipi uje uwashukuru hapa kama sio umbea wa wale wachezesha karata 3 wanaojisambaza kujifanya wanacheza kumbe wote wamoja.

Baada ya kuchemka kwa Suzan Minja kuhusu muda, leo mmekuja na GAP kubwa kidogo i.e 'siku tatu nne hivi'

Mnaonaje mnipe dili niwasaidie kimipango? Msifanye mchezo, wizi unataka akili bana
 
unawashukuru kwani umeshapata hiyo kazi?

Wewe ni mmoja wao huna lolote. Hicho ki-blog chenu kimejaa vitangazo vya kurudia mlivyovikopi kwenye site nyingine sasa mnatafuta kwa nguvu watu wa kukitembelea ili mpige michuzi.

Bado nawapa pole kwa kukosa akili, kama umeshatuma cv yako ina maana unayo anwani yao, vipi uje uwashukuru hapa kama sio umbea wa wale wachezesha karata 3 wanaojisambaza kujifanya wanacheza kumbe wote wamoja.

Baada ya kuchemka kwa suzan minja kuhusu muda, leo mmekuja na gap kubwa kidogo i.e 'siku tatu nne hivi'

mnaonaje mnipe dili niwasaidie kimipango? Msifanye mchezo, wizi unataka akili bana
unataka akushukuru wewe??

Ukiona hivyo ujue mwenzio keshapata job na wewe apply
 
unataka akushukuru wewe??

Ukiona hivyo ujue mwenzio keshapata job na wewe apply
Nawashukuru sana kwa kutusaidia watanzania tunaotaabika kutafuta ajira mimi nimewatumia CV yangu kama siku tatu nne hivi zilizopita naamini mtaifanyia kazi na mtanijibu kama nastahili kupata kazi kwenu au la!

Asanteni Sana!

Hivi woote hamna akili au ni mtu mmoja yule yule ana ID nyingi? Sasa amepata vipi, hebu irejee statement yake kwenye bold ya second quote.

Mimi hawezi kunishukuru kwani nimesimama kidete kuwaharibia dili lenu. Hamumuibii mtu hapa. Unless mnipe mimi deal la kuwanoa ubongo kwanza, utapeli unataka akili, alaaaa!

Kwanza nimekumbuka (Leo kimbelembele kitakutoka).

Hebu nieleze uliwezaje kutuma CV saa 16:52, wakaisoma, wakakupigia simu kukupa maelekezo na just a minute later (16:53) ukawa umeshatuma acknowledgements? Hebu nifafanulie dada yangu mzuri. Manake wewe uliyefanya mwujiza ule ndio unaweza kutueleza ni wa Yesu au Shetani
 
hivi jamani c kuna member wa jf alisema anatuma cv alete habari yalojiri vipi mbona kimya tena au hakusomeki huko?
 
jamani nami mniangalizie nafasi nimeshatuma CV kwa email ya info@patakazi.net

Hizi huduma zetu ni ndani ya dakika moja. Ukiona hujapigiwa simu sekunde 8 baada ya kubonyeza kitufe cha kusabmiti CV ujue huwezi kupata. Angalia mfano wa Suzan Minja, ndani ya dkk moja CV imeshapokelewa kwa kasi ya ajabu na simu keshapigiwa na keshatuma shukrani.

Condolences! Rudi shule CV yako haitoshi kazi zetu za kuuza vyombo mitaani
 
jamani hawa ni matapeli niliamua kuwatumia cv yangu ndani ya 30 minutes baada ya tangazo but hadi leo hii no e-mail no call..
 
matapeli watoto hawa,wakajipange upya........hii ni nyumba ya great thinkers.
 
Nashukuru kuwafahamu hao patakazi ila nilitaka kujua ofisi zao ziko wapi ili niende pale pale kuwatumia CV zangu na sio online kama wako Dar es Salaam nifahamisheni jamani naitaji kazi
 
Nyie wachaga wapuuzi kweli kweli! Yaani mmenichekesha nusura nifunje mbafu zangu.

Juha wa Kwanza anatangaza kazi zisizojulikana, anajifanya bonge la agent na kwamba very quick in response.

Juha wa pili anajifanya ametuma CV (16:52) halafu dakika 1 tu inayofuata (16:53) tayari ameshapigiwa simu kwa hiyo anshukuru. Hivi hata kama ndio ujanja ujanja, mbona msitumie akili hata kidogo?

Recruitment Agent na e-mail ya gugo kweli?!

Labda nimiulizeni tu, hizo CV za watu mnataka kuzifanyia nini jamini?


wanadesign CV nyingine wapate moja makini..mtafungwa
 
Back
Top Bottom