Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830
Kampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo.

Honora Holdings Limited imesajiliwa Mauritius.

Honora.jpg
 
MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji
 
Mkitaja majina ya kampuni mnawachanganya wasiojuwa lolote.

Ni hivi Tigo na Zantel ni Mali ya Rostam Aziz, hiyo ni michezo ya kawaida kwa magalacha kama hao.

Mwamedi, Muddy, Mo ni mtu mmoja yuleyule.
 
MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji
Ndio ushangae..bunge badala ya kubadili hizi sheria wako busy kubadili sheria ili DP World achukue bandari milele...
 
Kampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo.

Honora Holdings Limited imesajiliwa Mauritius.

View attachment 2725843
In a positive side of this ni kuwa Mauritius waliamua kupunguza viwango vya kodi ambapo makampuni makubwa yanakimbilia kuweka makao makuu ya biashara zao huko kwa security hii na kutozinguliwa na mauzauza kama ya TRA yetu.

Mimi nikipata nafasi ya kumshauri Rais nitamueleza manufaa ya kushusha viwango vya kodi ili siyo tu ilipike bali kushawishi wawekezaji wakubwa na kuongeza ajira.

BOT pia ni kikwazo kwa sekta ya fedha nchini. Inatumika sana na watawala kudhibiti watu wanaosakamwa na Serikali
 
Back
Top Bottom