Kampuni iliyofilisika New York - Marekani yafunguliwa leo Tanzania

Sio tatizo sana kuja na kutafuta mitaji kama watu wetu wanaweka pesa huko uswisi sasa hapa Tanzania ni shamba la bibi
 
Nchi ya wajinga ndio waliwao.

Dunia nzima wanajua kuwa ukitaka FUEZA ya burebure njoo Tanzania! Tuna kina IPTL,Richmond,Dowans,Songas etcetera,etcetera!!!!
 
Umesahau kuwa hata meli ya Skagit ilikuwa imeshapigwa marufuku kwa sheria kutumika Marekani lakini ikaja kutumika hapa Tanzania na kusababisha kile ambacho sasa kila mtu anakifahamu?
 
Wapo wazalendo ambao tunawalipa kusimamia maslahi yetu. Tahadhari wameshapewa. Kazi ni kwao.
 
Back
Top Bottom