Kampuni ya Magnis ya Australia yaitumia Graphite ya Ruangwa kupata bilioni 816

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,822
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.

Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi.

Kampuni ya Magnis ilikumbana na changamoto ya kifedha na haikuwa na hali ya kukopesheka kirahisi huku mapema mwezi huu ikipokea huruma ya kuhairishiwa marejesho yake kwenye mkopo wenye riba kubwa ilikopa awali.

Pesa hizo zitawezesha mradi wa Nachu kuzalisha tani 240,000 za graphite kwa mwaka.

Madini ya Graphite yanatumika kutengeneza betri na umuhimu wake umeongezeka wakati dunia ikielekea kwenye matumizi ya magari ya umeme.

=======

Nachu graphite_Ruangwa.jpg

After four months of diligence, Singapore-based PEY Capital has entered into an exclusivity period with Magnis Energy Technologies to source $320-million in funding for the Nachu graphite project, in Tanzania.

As part of the financing process, PEY has recently engaged its related Tanzanian entity, Tantel, to provide local financial and operational support services.

“Our financing discussions with PEY and Tantel continue to progress in a positive manner,” said chairperson Frank Pullas.

“In recent months Magnis has been in discussions for the offtake of significant volumes of graphite
concentrate,” he added.

The funding will allow for the full development of Nachu to produce 240 000 t/y of graphite concentrate.

SOURCE: Mining Weekly
 
Haya makitu sionagi impact yake kwenye uchumi wetu, maana, madeni ya Kitaifa yanaongezeka, hali inazidi kuwa ngumu zaidi, tulitamani tuone, faida ya madini ikisaidia kupunguza makali ya maisha kwa mtanzania, kwa hata kupunguza Shuru mbalimbali za kikodi.
 
Faida zipo kwa chawa wa maza pekee na koo zao
 
2022 20 August
Mgodi wa Madini ya Kinywe (Graphite) unakabiliwa na tatizo la kifedha

View: https://m.youtube.com/watch?v=Bu4cBdje04g
Paul Shauri meneja wa mradi wa Jumbo Limited wa Kinywe Graphite uliopo mkoa wa Lindi , Tanzania na tayari tuna wateja wa kuchukua graphite. Changamoto za kupata dola milioni 20 kutoka benki yetu ya nyumbani Tanzania CRDB majadiliano yanaendelea, udongo wa mfinyazi mvua ikinyesha nayo ni changamoto pia umeme kutoka TANESCO ni changamoto .....

Habari za ziada za ndani

WAWEKEZAJI WAJADILI MAKUBWA YA MRADI WA GRAPHITE
Fahamu kwa kina chimbo hilo la Nachu lililopio nchini Tanzania kwa kina.

Ripoti za kina kuhusu chimbo hili baada ya ziara katika nchi hii nzuri ya Tanzania na leo tunatoa kwa kina ripoti ya safari yetu na leseni maalum special mining license mwaka 2015 tuliyoweza kuipata nchini Tanzania ikiwemo 16% kufuatia mabadiliko ya sheria ya maliasili nchi Tanzania, miaka 10 ya kusamehewa kodi kadhaa mfano Corporate tax n.k, usuluhishi kufanyika katika korti maalum ya kimataifa kukitokea changamoto siku za usoni.

Madini ya graphite pia yana Lithium inayotumika katika betri za kisasa. Umbali wa 220 KM kwa barabara kutoka bandari ya Mtwara na imetuchukua miaka 10 sasa kujitayarisha kuanza uchimbaji na eneo 30 kilometres Square na hili chimbo la mkoani Lindi ndiyo lenye madini mengi zaidi kupita machimbo yote duniani.

Special economic zone la chimbo Linahitaji kuchimbwa udongo wa kuanzia mita 15 (very shallow) hii itapunguza gharama za uchimbaji. Inatuhitaji kuchimba 174,000,000 tani inayoweza kuzalisha 4% graphite sawa na tani 9,000,000 za granite safi na lina maisha ya kuchimbwa kwa miaka 40.

Vipimo vya maabara kwa maana ya Metallurgical testing imetupa ripoti za kusisimua kuwa kwa miaka 12 ya kwanza tukianza kuchimba na ni 99% purity ambayo inafaa kwa betri za Lithium ...

Nchi inafunguka !

2022 8 November

View: https://m.youtube.com/watch?v=jBqBDM4s9tY
Magnis' update to the BFS demonstrates that the Nachu Graphite Project represents one of the best graphite production opportunities in today’s market. The project will produce a high quality, sustainable product that requires minimal purification, placing Magnis in a strong competitive position relative to others in the market. The company's high-purity graphite concentrate will provide lithium-ion battery manufacturers and other industrial customers with an attractive and competitive alternative to current sources in the global graphite market.
 
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.

Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi.

Kampuni ya Magnis ilikumbana na changamoto ya kifedha na haikuwa na hali ya kukopesheka kirahisi huku mapema mwezi huu ikipokea huruma ya kuhairishiwa marejesho yake kwenye mkopo wenye riba kubwa ilikopa awali.

Pesa hizo zitawezesha mradi wa Nachu kuzalisha tani 240,000 za graphite kwa mwaka.

Madini ya Graphite yanatumika kutengeneza betri na umuhimu wake umeongezeka wakati dunia ikielekea kwenye matumizi ya magari ya umeme.

=======

After four months of diligence, Singapore-based PEY Capital has entered into an exclusivity period with Magnis Energy Technologies to source $320-million in funding for the Nachu graphite project, in Tanzania.

As part of the financing process, PEY has retly engaged its related Tanzanian entity, Tantel, to provide local financial and operational support services.

“Our financing discussions with PEY and Tantel continue to progress in a positive manner,” said chairperson Frank Pullas.

“In recent months Magnis has been in discussions for the offtake of significant volumes of graphite
concentrate,” he added.

The funding will allow for the full development of Nachu to produce 240 000 t/y of graphite concentrate.

SOURCE: Mining Weekly
Ukiwaangalia watu wa maofisin serikalini,swaga nyingi, entitlement saaana, vizungu broken, utafikiri wana akili, kumbe bure kabisa, wanachojua ni kuiba pesa, nunua ardhi Jenga , pangisha!
Hatq robot linaweza fanya
 
Haya makitu sionagi impact yake kwenye uchumi wetu, maana, madeni ya Kitaifa yanaongezeka, hali inazidi kuwa ngumu zaidi, tulitamani tuone, faida ya madini ikisaidia kupunguza makali ya maisha kwa mtanzania, kwa hata kupunguza Shuru mbalimbali za kikodi.
Sote ni wananchi ila faida wanakula wenye nchi. Ukiwauliza watoto wa Mama Abdul watakwambia impact iliyopo.

Watu wana mission ya kutengeneza Dynasties, kurithisha vizazi vyao.
 
Ukiwaangalia watu wa maofisin serikalini,swaga nyingi, entitlement saaana, vizungu broken, utafikiri wana akili, kumbe bure kabisa, wanachojua ni kuiba pesa, nunua ardhi Jenga , pangisha!
Hatq robot linaweza fanya
Kuna ukweli fulani hapa
 
Juni 2022

GRAPHITE KUANZA KUCHIMBWA RUANGWA-MAJALIWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=sl6cSlSFbvY

Waziri mkuu Kassim Majaliwa - Eneo tajiri bunye kimwera kizungu graphite imesambaa pote humu makampuni mengi mmeyaona yamefika na wanataka kuchimba rasilimali lakini serikali imetaka wasubiri kwanza. Tuna timu yetu ya mikataba inayoongozwa na Prof. Palamagamba Kabudi ili faida ije huku Ruangwa ulipaji wa fidia umeanza kwa wananchi
 
Sote ni wananchi ila faida wanakula wenye nchi. Ukiwauliza watoto wa Mama Abdul watakwambia impact iliyopo.

Watu wana mission ya kutengeneza Dynasties, kurithisha vizazi vyao.
Hiyo ni fact ila ukiangalia huo mradi ullikosa sharp and smart mind.
 
Graphite imekuwa dili sana kwa sasa kwasababu ya Magari ya Umeme.

Wazalishaji wakuu ni China na Sri Lanka.
 
Back
Top Bottom