Kampeni za CHADEMA leo Katika picha

Mgombea%2Bkuhutubia%2BNgarenanyuki.jpg
​

Mgombea wa CHADEMA Bwana Joshua Nassari akihutubia mamia ya wananchi leo jioni maeneo ya Ngarenanyuki.Ameendelea na kampeni leo baada ya kusitisha jana kwa ajili ya kufiwa na baba mdogo wake

Kukusanya watu katika mikutano ya kampeni si deal. Sie twawasubiri tuwapige bao kwenye sanduku la KURA. Ukweli ni kwamba wafuasi wenu wengi wao hawatapiga kura kwa vile hawajajiandikisha
 
mh mi sifagilii maisha ya mtu najifagilia mwenyewe...!!!!!! Kampeni kwa baadhi ya sisi wasomaji hazitusaidii na wala hatuna time nazo, tunawafagilia mkipata hayo madaraka inakuwa ndo basi tena mtanikoma...fuc******!

Ni bora nijue zangu 50....!!

small gamba at work
 
Kukusanya watu katika mikutano ya kampeni si deal. Sie twawasubiri tuwapige bao kwenye sanduku la KURA. Ukweli ni kwamba wafuasi wenu wengi wao hawatapiga kura kwa vile hawajajiandikisha

wewe unataka kuhalalisha wizi wa kura tu huna lolote kwani shahada za kupigia kura zina nembo ya vyama hadi ujue cdm hawajajiandikisha?mpelekee nape magamba yake
 
Kukusanya watu katika mikutano ya kampeni si deal. Sie twawasubiri tuwapige bao kwenye sanduku la KURA. Ukweli ni kwamba wafuasi wenu wengi wao hawatapiga kura kwa vile hawajajiandikisha

utendee mwili wako haki japo kidogo..umepewa ubongo kwa ajili ya kuwaza,macho kwa ajili ya kunusa,pua kunusa na makalio kukaa..sasa kwanini wewe unawaza kwa kutumia kija.mbio,unanusa kwa kutumia masikio?
 
magamba wamepotea kabisa, naona kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
 
Kazi ipo jamani kuingia mjengoni si mchezo lazima usote kwanza
 
Ki ukweli kama wingi wa watu ndio kura. basi CCM imeshashinda arumeru mashariki. Naona mikutano yao inafunga watu wengi. Ukichukulia wanatoa burudani za bure..
 
mh mi sifagilii maisha ya mtu najifagilia mwenyewe...!!!!!! Kampeni kwa baadhi ya sisi wasomaji hazitusaidii na wala hatuna time nazo, tunawafagilia mkipata hayo madaraka inakuwa ndo basi tena mtanikoma...fuc******!

Ni bora nijue zangu 50....!!

kama fikra zako ziko hivyo hapa kwenye jamvi la siasa unafata nini?
Nenda facebook utafute totoz upate nonoz!
 
Huyi mgombea wa magamba anakazi nzito kwani wanajimbo walikua hawamfahamu. Nasari amekuwa akipiga kwata na vijana wenzeke toka yuko skuli.
Fatilia shule wazosoma primari hadi secondary pamoja na desturi ya likizo za mapunziko
 
]Picha zinaongea kwa sauti kubwa,[/COLOR] atakayejaribu kuchakachua matokeo tutamtenganisha mwili na roho yake kila kimoja kiishi kivyake kwa ukiwa.

kwa kuwa umeona picha ndo huwa zinapiga kula, haya endelea na mawazo yako finyu...! subiri siku zikihesabiwa, wakati huo wewe utakuwa unaziangalia hizo picha......!
 
Picha zinaongea kwa sauti kubwa, atakayejaribu kuchakachua matokeo tutamtenganisha mwili na roho yake kila kimoja kiishi kivyake kwa ukiwa.

hivi kwa akili zako finyu unadhani hizo picha ndizo zinazopiga kura...!!!???? hata kama zitapostiwa picha milioni moja hapa zenye mkusanyiko wa kundi la watu milioni moja kila picha, kama hao wana pipozi pawa hawatajitokeza kupiga kura ni sawa na kuutukana upepo ukiuambia uache kuvuma. sasa ninyi mtaendelea kuangalia picha huku wenzenu wanaendelea kupiga kampeni mtu kwa mtu, kitanda kwa kitanda, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa. hadi mje kushituka tayali mtakuwa mmekwisha pigwa bao.

na hako katabia ka-kutishia watu kuwauwa undhani mtakaacha lini...!!!?? mkuwe sasa, muanzae kushindana ki-ukweli pasipo kulalamika kwamba mumeibiwa, mumechakachuliwa nk, hv ninyi ni watu wa kuchakachuliwa tu, hv tukiingia ndani ki-ukweli katika mchezo wa siasa ninyi huwa hamchakachui....!!!!!???

Back
Top Bottom