Kampeni za CHADEMA katika picha: Malula na Usa River - Arumeru [March 24]

Vicent Nyerere mtamjua!

jana alimwambia mkapa yeye ni ukoo wa nyerere na si wa kujaza form kama alivyofanya mkapa... akasema raisi mkapa alipaswa kuongelea kero za wana arumeru na si koo za watu kwani si kero za wanaarumeru
 
Mbona under 18 wengii sana..

Msije kulia tarehe 1/4..matokeo ni 28% vs 72%ccm

Yes hata kama CDM watalia, hao under 18 watakuwa over 18 next election, CDM haiangalii mwisho kwenye pua, inaangalia mbali.CCM wa mfano hawathubutu kurudi Iginga baafa ya kuharibu vibaya. SO YES, UNDER 18 BUT WANAPATIWA SUMU KALI YA KUUKATAA UFISADI NA UNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU
 
Sidhani kama cdm km kinweza kulinda kura mkakati unaofanywa ni kutumia udikteta sio wizi tena. Nasisitiza UDIKTETA SIO WIZI TENA.
Wanajamvi na wanachama wenzangu wa CHADEMA, kiukweli hapo kwenye UDIKTETA SIO WIZI ukweli haupindishi. Hali hiyo ndiyo iliyotumika kumpitisha Sioi kuwa mgombea kupitia CCM, ki ukweli hakupita na hakubaliki! Mkwele alitumia ubabe kumpitisha Sioi hali iliyosababisha kutokea kwa mpasuko ndani ya wanachama wa CCM, WOTE TUNAJUA! Sijui nini kitatokea baada ya udikteta kuchukua nafasi.
 
Katika mikutano Minne iliyofanywa na chama cha demokrasia na Maendeleo nimebahatika kufatilia mikutano miwili wa kwanza ulifanyika kwenye kijiji cha malula kata ya kingoli ulimalizika saa nane watu walikuwa wengi na wa mwisho ulikuwa usa uliofanyika kwenye uwanja wa liganga pale walipofungulia kampeni mahasimu wa cdm yaa CCM


Chini ni Baadhi ya picha za mkutano wa chadema kwenye kijiji cha Malula kata ya King'ori na chini ni kwenye mkutano wa mwisho leo tarehe 24.04.2012 kwenye uwanja Usa River

Picture003.jpg

Picture006.jpg

Picture016.jpg

Picture017.jpg

Picture027.jpg

Picture031.jpg


Chini: Kamanda Godbless Lema akichangisha baada ya kampeni kumalizika

Picture033.jpg
Wana CDM mlioko Arumeru,lindeni kura zenu,mkileta mzaha itakula kwenu,magamba sio mchezo!
 
mnapenda takwim?? Vìp ile taasisi ya red cat sijui rid and eat mnaijua wenyewe.vip mbona imetokomea, au inasubiri mpaka tarehe za karibu na kupiga kura

wale ni wapotoshaji na huenda magamba washawatumia na wameona hawaaminiki tena wamewatupa kama toilet paper
 
Tunakumbuka Igunga yule mama aliyevaa mtandio tukaambiwa ni hijab! Kuna watu wanajua kuukejeli uislam hadi wanatia hasira, mtandio na hijab wapi na wapi?

Waislam nao wakaingia kichwakichwa wakatumika na magamba then wamewatupilia mbali
 
BAVICHA KIPENGA PIEEEEEEEEEEE MPAKA USHINDI MURUA WA HAKI NA UTETEZI WA UTU WA KILA MTANZANIA UPATIKANE BILA ZENGWE ARUMERU MASHARIKI TANGU SASA!!!!!!!!!!!!!

Askari wetu wa miavuli BAVICHA,

katika hii wiki ya lala salama Arumeru ni vema kuliko kawaida 'Dozi ya Siasa za Kistaarabu' mkanyunyiza mtindo wa Igunga kutwa mara tatu kufikisha ujumbe wa ukombozi katika kila lango la kila mpiga kura katika kila kijiji jimboni hapo na hatimaye kuhitimisha kwa mkakati wa kufa mtu katika kudhibiti usalama wa kila kura itakayopigwa siku hiyo.

Kamanda Heche tunahitaji kuona organisation skills na usimamizi wa kitimu kwa kushirikiana kwa karibu sana na machalii wote wa Arumeru Mashariki (kama Kamanda Vincent Nyerere tangu alivyofanikiwa na msaidizi wake Mchungaji) tangu sasa.

Kipenga pieeeeee, pipoz pawaaaaa mpaka ushindi kuubeba mbeeeele kama tai huku sote tukishirikiana kwa kila hali kila mahali na kila waka!!!!!!!!!
 
under 18 ni makamanda wa kesho,idadi u na macho hesabu mwenyewe na pia hao nao ni wenzetu hatuna ubaguzi hata miaka 2 anaruhusiwa kuhudhuria.
Wivu wa nn!ganga yako na njaa zako

pia ajue CDM hawana hakili za kufikiria leo tu kama ccm bali wanafikiria na baadae watafanya nini
 
Hawa wote wamejiandikisha kupiga kura?

Au ni kufuata mkumbo?

Je na hao wote ccm wanaojazia mafuta ktk pikipiki, wanaowapa tshirt, kanga na kepu wanauhakika wamejiandikisha si bora hizo hela wangeziongezea kwenye wizi wa kura pamoja na kununua vitambulisho vya hao wapiga kura?
 
CDM bana hakuna fuso wala nauli ni wanaharakati wanajitolea kwa hali na mali kuakikisha tunammaliza nyoka kwani hata akijitoa gamba anabakia nyoka tuuuuuuuu, safiiiiiiiiiii sana
 
Makamanda nawakubali,magamba hamueleweki tunawaweka kapuni then jalalani your waste products ambazo hazina faida kwetu, mezani ni pipozi pawa tu! Ambayo ndo mpango mzma.Muda wa magamba kwisha habar zake,wanawategemea wazee ilhali wazee wa sasa wanajiunga na makamanda na kuchoma kadi za magamba na kuzoa majivu yake halafu wanapeleka chooni maana wakibaki nayo ni laana kwao na wanajuta kuwa na magamba tangu zaman,ila twamshukuru Mungu wamejikomboa kwa kuhamia kwenye chama makini yani chadema.Kwa karne hii pipoz power ndo muda wake ccm ilkuwa enz za mwalimu na aliondoka nayo,r.I.P mwl J.K.N. Yamebakia majambazi na mauaji tu kwenye magamba.Na pia kwa sasa hawana chao watu washaelimika hata wale ambao hawakwenda shule maana wanajitambua wao wana thaman gan ktk nch hii.
 
Tangu lini picha ni ushindi; jiulizeni yafuatayo

a. under 18 walikuwa wangapi?

b. Wenye kadi za kupiga wangapi?

c. Wataenda kupiga kura? commitment

d. kwenye hiyo wangapi ni ccm wamekuja kusikiliza tu? wangapi wamekubaliana na sera zenu?

acheni matumaini mfu..matokeo ni 28% cdm na 72% ccm; anyway mmejitahidi kutangaza chama

:violin:Wewe ni sawa na kuku aliyekatwa kichwa na kutenganishwa lakini bado then anapiga kelele za "Jamani niacheni msiniuwe" Asilani nakwambia ushindi kwa CCM Arumeru Mashariki ni jambo gumu kama kumlazimisha ngamia kupita katika tundu la sindano, Read from history-1995 Hata Nyerere alidiriki kutishia kurudisha kadi ya CCM baada ya Mkutano mkuu wa CCM kung'ang'ania kupitisha Jina na JKM,Hakika CCM ni maiti anayeongea,Pia Jiulize SISIEMU yenye dora leo inahangaika kunusuru kajimbo kamoja kwa nguvu kubwa ya ajabu,Kama kweli bado SISIEMU inakubalika kwa watanzania kwanini msikae kusubiri ushindi wa kishindo,Kama kweli watanzania wa Arumeru wanalizika na maendeleo yaliyoletwa na marehemu senior Sumari pamoja na Magamba ni dhahiri wasingeenda hata kuwasikiliza wapinzani ktk mikutano yao,Ukweli ni kuwa SISIEMU ni Adui wa watanzia maskini na ni rafiki wa mafisadi,hata mkichukia uchungu wa dawa lakini lazima muinywe, CCM haikubaliki Tanzania,Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha,tumedhulumiwa kiasi cha kutosha sasa basi,enough is enough VIVA CHADEMA...:violin::flock::scared::hurt::peep:

Huu ndo ukweli hata kama unauma,
:lock1:Nomba kuwasilisha.:lock1:
 
Tangu lini picha ni ushindi; jiulizeni yafuatayo

a. under 18 walikuwa wangapi?

b. Wenye kadi za kupiga wangapi?

c. Wataenda kupiga kura? commitment

d. kwenye hiyo wangapi ni ccm wamekuja kusikiliza tu? wangapi wamekubaliana na sera zenu?

acheni matumaini mfu..matokeo ni 28% cdm na 72% ccm; anyway mmejitahidi kutangaza chama

Hiyo 72% umeitoa wapi kama si kujiaminisha tu, mwisho wa siku ikawa peoples power,
 
Mbona under 18 wengii sana..

Msije kulia tarehe 1/4..matokeo ni 28% vs 72%ccm

Na hao watoto wangekuwa wanapiga kura Chadema wangekuwa washashinda
I like the presence of under 18, sisi hatuangalii uchaguzi huu tu tunaangalia mbele. Hao watoto ni vizuri wakaanza kuzoea vuguvugu la mabadiliko kabla ili itakapofika siku ya siku CCM hawataweza kuwadanganya kwa urahisi. Na CCM kuto update daftari la wapiga kura ni sawa na kufunika moto kwa blanketi kwa sababu lazima tu watawaandikisha wapende wasipende.
 
CDM pamoja na kampeni zinazoendelea mikakati ya ukika kusimamia na kulinda kura yaendelee sambamba,tuko paja mungu akiwa upande wetu tumogope nani?
 
Back
Top Bottom