Kampeni za CCM Arumeru Leo Katika picha

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
wakuu,leo tena nimepitia ule uzi wa www.mjengwablog.com na nimekuta kuna picha za leo za ccm.jana niliwapasha kuhusu picha za chadema mtu akatuletea.sasa naomba mwenye kuweza atuletee hapa ili tuone tofauti ya Magamba na magwanda.
 
Saturday, March 17, 2012

Kampeni Za CCM Leo Arumeru

Siamini kama hii ndiyo CCM niliyoijua.(kwa hisani ya Plato)

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika leo Kijiji cha Mikandini jimboni humo
Wazee wa kijiji cha Mikandini jimbo la Arumeru Mashariki wakifuatilia kwa makini hotuba ya Sioi wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye kijiji hicho.
Kinamama Mikandini wakimshangilia Sioi
Reactions::
 
naona hao wa katikati wanatamani wanyoshe vidole viwli juu, cdm alama yao ya vyema haina mbadala
 
Jamani wafuasi wa ccm wanaonekana ni watu waliochoka kuanzia kifikra hadi kimaisha. Picha zinatoa taswira halisi ya wanachama wa ccm waliobakia.
 
hivi tunategemea kijiji kina watu wangapi?tujifunze kutofautisha kijiji na miji midogo.picha hizi zinaonyesha wapiga kura wa ccm yaani kina mama na wazee kwa wingi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mwigulu anatembea na lori la mchele lazima watu wajae kwenda kujipatia msosi.
Sanduku la kura litasema na CCM watashangaa sana siku hiyo ya ujinga
 
hivi tunategemea kijiji kina watu wangapi?tujifunze kutofautisha kijiji na miji midogo.picha hizi zinaonyesha wapiga kura wa ccm yaani kina mama na wazee kwa wingi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kweli uwingi ni relative term lakini lazima unaonekana basi hata maji kwenye glass unaweza kusema haya maji ni mengi ingawa hayalingani na maji machache kwenye kisima lakini uwingi wake kwenye glass unaonekana, sasa kwa hali hii hata kama ni kijijini, tuseme timu ya msafara wa Sioi na kina Nchembe na wapambe wao ilikuwa na watu 30 ukiwatoa hao utabaki na kitu pale. Jamani tuwe realistic sometimes si kutetea tu kila kitu.
 
dah.... kweli wabongo tumechoka, yaani hao wazee wangu wamekauka kweli kwa shida za nchi hii
 
dah.... kweli wabongo tumechoka, yaani hao wazee wangu wamekauka kweli kwa shida za nchi hii

wazee wameridhika na maisha yao na bado wanaamini ccm itawakwamua kuondokana na umasikini huwezi jua mipango ya mungu ujue!
 
Saturday, March 17, 2012

Kampeni Za CCM Leo Arumeru

Siamini kama hii ndiyo CCM niliyoijua.(kwa hisani ya Plato)

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika leo Kijiji cha Mikandini jimboni humo
Wazee wa kijiji cha Mikandini jimbo la Arumeru Mashariki wakifuatilia kwa makini hotuba ya Sioi wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye kijiji hicho.
Kinamama Mikandini wakimshangilia Sioi
Reactions::

Natamani ALLY CHEMICAL wa Iraq angekuwepo ningemwomba apitishe lile dege lake la sumu awanyunyizie hawa wazee wanaotucheleweshea ukombozi wetu toka kwa mkoloni mweusi.
 
Mr.Wassira na diwani aliyeshindwa wa kata ya Makuyuni_Monduli wametoka na ujumbe wa kama 16 wakiwa wamechangamka kimtindo,namaanisha wamelewa wakiwa ndani ya jezi ya chama hapa Naura Springs Motel Arusha!
Wafuasi wao walikuwa wanaimba Siyoi kwa kurudia ndipo Mr. Wassira alivyo kilaza akawaambia wapaze sauti na bila ubishi watu wazima wakawa wanaimba kwa kelele hapa nje hadi Lekule ambaye ni mbunge wa Longido akaja na gari # T586ANR na kumpandisha Wassira na Sanare ambao tayari walikuwa katika ulimwengu mwingine!
 
dah.... kweli wabongo tumechoka, yaani hao wazee wangu wamekauka kweli kwa shida za nchi hii
Afu CCM mtaji wao ndo watu waliochoka kama hao wazee hapo, wanawagawia unga na mchele wa kuganga njaa siku mbili afu uchaguzi ukipita wanawatupa kule, ila mimi siwahurumii kabisa wacha wakauke mpaka wafie mbali manake ndio njia waliochagua!
 
Back
Top Bottom