Kampeni za CCM Arumeru Leo Katika picha

Jamani hawa wameletwa kutoka maeneo ya mbali ili kuhamasisha msiwahukumu njaa inawatesa,ushauri wangu kwa cdm kwenye kampeni mambo yanaenda vizuri mikakati ya kulinda kura ianze mapema au iende sambamba na kampeni wasifikiri ccm wapo kimya na hii hali c ajabu wanahangaika na plan B (wizi wa kura) makamanda fungeni mikanda
 
hii ni hatari kwelikweli wamebaki wazee tu ccm ilikwenda na mwenyewe nyerere hakuna tena mwingine walio baki wote ?????? chadema hooooo;;
 
Walitoka kupanga jinsi ya kuligawa fungu lililotoka kwa Rostam juzi kupitia kwa Lowasa. Siri tunazo nasikia wamepokea milioni 200 na kuweka mkakati Lowasa asiende Arumeru ili isionekane kuna mkono wake. CCM imeridhia na kumshukuru sana Lowasa kwa msaada huo toka kwa fisadi mwenzie make wote waliogopa jinsi ya kumweleza Rosta japo ccm wanadhiki kweli kwa kipindi hiki.
 
Huyu Wassira ahakikishe j3 yupo ofisini kwa kuwa analipwa mshahara kwa kodi zetu yeye anafanya kazi za chama na bungeni ni mausingizi tu. Watu kama Wasira ni LIABILITY kwa taifa
 
Jamani wafuasi wa ccm wanaonekana ni watu waliochoka kuanzia kifikra hadi kimaisha. Picha zinatoa taswira halisi ya wanachama wa ccm waliobakia.

Ni kweli kabisa wafuasi wa ccm wamechoka kwa sababu lengo lake kuu ni kukamata DOLA sio kufanya biashara.Lengo hili limeendelea kufanikiwa na itakuwa hivyo hadi karne ya 22
 
[h=6]VIJANA WASOMI WASHULE NA VJANA WA JAMII WA ARUMERU MTAMPIGIA KULA SUMARI,NDIYO,MTAKAO PIGA KURA APRIL 1 NYOOSHEN MIKONO JUU[/h]









  • Ty Konky CHADEMAAAA ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII





  • Hassan Ali CCM HOYEEEEEEEEEEE NO 1 NI C C M.





  • Agustino Chacha Hyö ndio ccm ya wazee,vijana na watoto. Sumari huyoooo! Mjengoni kuwawakilisha wana wa arumeru na Taifa kwa ujumla. Kidumu cha ma mapinduzi.




  • Ty Konky CCM,CCM,CCM,CCM

  • Frank Oleleshwa arumeru si godoro la tanform yani alinunua babu mpaka mjukuu analitumia
 
Huyu Wassira ahakikishe j3 yupo ofisini kwa kuwa analipwa mshahara kwa kodi zetu yeye anafanya kazi za chama na bungeni ni mausingizi tu. Watu kama Wasira ni LIABILITY kwa taifa

Wakati mwingine huwa naona watu wengine wana bahati za ajabu sana! Kwa nini atuigi mtindo wa Merikani wa kufanya proper vetting kabla ya mawaziri kuthibitishwa kwenye post zao? Hii ingemsaidia Raisi sana maana raia ndiyo wanawajuwa fika watu hao kwa hiyo ingekuwa kazi ndogo kutoa taharifa kuhusu character zao za kweli bila majungu, si tunaishi nao bwana.
 
Wakati mwingine huwa naona watu wengine wana bahati za ajabu sana! Kwa nini atuigi mtindo wa Merikani wa kufanya proper vetting kabla ya mawaziri kuthibitishwa kwenye post zao? Hii ingemsaidia Raisi sana maana raia ndiyo wanawajuwa fika watu hao kwa hiyo ingekuwa kazi ndogo kutoa taharifa kuhusu character zao za kweli bila majungu, si tunaishi nao bwana.
katiba mpya mkuu!
 
ndilo wanaloweza

Mkuu nashauri hii logo yako itumike rasmi na CHADEMA kwenye uchaguzi ujao, i mean magari, bajaji na vyomo vingine vya moto wapewe sticker zenye muonekano huo ili kuamsha hisia na ari ya watz waliokosa matumaini. Ni ubunifu mzuri sana!

avatar30990_15.gif
 
Da!mkuu ilo stika linapendeza sana.tengeneza tshirt watu tukelezee nayo.big u kamanda.ccm watakoma na rangi za mavi.
 
Magamba wameishiwa sera arumeru. Wamebaki kubwabwaji, matusi na kucheza mduara tu. Angalia zao

 
Last edited by a moderator:
Kwa mtaji wa ujumbe uliomo katika nyuso za wana-CCM hawa huko Arumeru Mashariki mara baada ya vimbwanga vyake Tendwa, uteuzi kurudiwa mara kumi kumi nda ya chama hicho na mwisho Mzee Mkapa kukitibulia chama hicho hali ya hewa kimoja, ni wazi kwamba kundi hili hivi sasa limechanganyikiwa hamna mfano wake.


 
jaman mbona watu wanaonekana wana njaa?nashangaa kweli kama ndo hivi ccm hapati kitu kabisa kura.
 
kwi!kwi!kwi!

babu wa upande wa kulia amevaa gwanda.

Hawa wazee sidhani kama ni wanachama wa magamba kwa jinsi wanavyoonekana kusulubika na maisha yaliyoasisiwa na magamba, mimi nahisi niwasikilizaji tu kisha watajiendea zao. Kwanza waliahidiwa matibabu bure kitu ambacho ni hadithi mpaka leo na mabay zaidi wamekuwa wakiwaona wenzao waliokuwa wa east african comunity wanapigwa virungu na kumwagiwa maji ya kuwasha
 
Back
Top Bottom