Mh! Sidhani, six anavyopenda madaraka, hawezi kubali, ila tujiandae kwa minyukano!mimi nadhani wanamtayarishia mwandosya, sijui lkn
Ila najiuliza kama uamuzi wa kuzindulia Mbeya ulipata baraka za king pin wa siasa za Mbeya Prof Mwandosya, endorsement ya Mwakyembe haitoshi!
kwasababu gani utahama mkuu? Na unamaanisha 2liokuwa nje tusirudi?6 akiwa rais nahama nchi
Membe ni simba mwendapole, trust me, he will be the man to beat in the coming election.Mimi pia nadhani 6 anajiandaa kugombea uraisi 2015,simuoni akikubali kumuandaa mwingne kwa kuwa yeye anajiona kazaliwa kuwa on top...tusikilizie kambi ya maembe!