Elections 2010 Kampeni ya Sitta for Presidency 2015 yazinduliwa.

Mpanzi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
785
440
Kilichofanyika Mbeya ni kuzindua kampeni ya kundi la Sitta kwa ajili ya Urais! Shuhudia Minyukano itakayofuata! Kama kuna mtu anadhani CCM imetulia asubiri, its not over yet.
 
gamba jipya linaota duh tz tunaangamia wajameni. tz ni shamba la bibi
 
Nakubaliana nawe kabisa .Sitta alikuwa ana ameanza kupima upepo lakini majibu anayo kabisa .Haamini na kesha jimaliza kwa comments zake last week bungeni .
 
Ila najiuliza kama uamuzi wa kuzindulia Mbeya ulipata baraka za king pin wa siasa za Mbeya Prof Mwandosya, endorsement ya Mwakyembe haitoshi!
 
Not that easy to predicate what will real happen ...

But believe me .. There is great possibility, SItta can go very far !!
 
sizani kama 6 anaweza kuwa raisi mzuri,naona amejaa na jazba za kuukosa uwaziri kwenye kipindi cha kwanza na uspika ktk kipindi hiki na ndo maana akadiriki kutaka kuhamia ccj,,tanzania sasa ni kama shamba la bibi.
 
Ila najiuliza kama uamuzi wa kuzindulia Mbeya ulipata baraka za king pin wa siasa za Mbeya Prof Mwandosya, endorsement ya Mwakyembe haitoshi!

Prof. Mwandosy hatihati, afya yake mgogoro kidogo. Wachambuzi wa mambo wanaeleza kuwa iliyokuwa kambi ya Mwandosya imeungana nguvu na wale wanojiita 'makamanda wa ufisadi' kumpigia debe 6.
Kwa jinsi ccm walivyojeruhiana kwenye kuvua magamba, 6 anaweza kufika mbali, lakini kati ya sasa na 2014 lolote linaweza kubadili mizani ya kisiasa. Mara zote washindi hutakiwa kubaki 'low profile' hadi wakati muafaka, hii ya 2011 ni mapema mno.
 
Mimi pia nadhani 6 anajiandaa kugombea uraisi 2015,simuoni akikubali kumuandaa mwingne kwa kuwa yeye anajiona kazaliwa kuwa on top...tusikilizie kambi ya maembe!
 
yaani bongo yetu hii kila mtu anawaza kuwa rais.wish to suit their need,urais ungekuwa wa miaka miwilimiwili ili ndoto zao zitimizwe!
 
Mimi pia nadhani 6 anajiandaa kugombea uraisi 2015,simuoni akikubali kumuandaa mwingne kwa kuwa yeye anajiona kazaliwa kuwa on top...tusikilizie kambi ya maembe!
Membe ni simba mwendapole, trust me, he will be the man to beat in the coming election.
 
6 usalama wa taifa hawezi kuwa raisi hii minyukano ni kupima upepo wa chadema semeni yote but lowasa bado ananafasi kubwa sana ya kuwa rais msinihukumu kwa kauli yangu
 
sitta ana uchu wa urais zaidi ya alivyokua john malecela! JK kishasema rais ajaye awe kijana kama zitto
 
Back
Top Bottom