Kampenda au?.

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Mvulana kamtumia msichana friend request,wanajuana tangu zamani tu,kama wanafunzi waliosoma pamoja.chakushangaza kusuggestiwa awa add kama marafiki ndugu zake yule msichana wote..kuanzia mdogo mtu mpaka nduguze wengine.He is in dillema,hamwelewi huyu bidada..kampenda au anataka tu mkaka wa watu azidishe idadi ya marafiki,hajamsoma vizuri bado,
 
fikiria kabla ya kutuma humu jamvini unatuuliza ss kwani sie washauri tupo kwa jili ya kujadili mambo ya msingi
 
khaaah! hii sasa kali wajameni sasa hapo kapendwa nn kusuggestiwa ma friends ndio kapendwa jamani au yy ndio kapenda asijishaue tu hapa kutaka wadada kuonekana pendapenda
 
khaaah! hii sasa kali wajameni sasa hapo kapendwa nn kusuggestiwa ma friends ndio kapendwa jamani au yy ndio kapenda asijishaue tu hapa kutaka wadada kuonekana pendapenda

shogaa nimekumisije! Nimepita kukupa hi.
 
Kaulize huko huko facebook. Na siku nyingine usirudie kuleta upupu kama huu hapa jamvini.
 
Muambie wote wanamtaka, awa-accept afu awa-approach. Atakae kuwa wa kwanza kukubali aoe. Umenielewa?
 
Yani wewe kua ddiwa urafiki tu ndo unaona umependwa???? Unafikiria kwa kutumia nini?
 
kaka umeifanya isound kama ni mshkaj wako!..bt mi naona kama ni ww vile!
Teh teh..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom