Mshani de Orbital
Member
- Oct 10, 2014
- 14
- 4
Sasa hali ni tofauti katika chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala yabainika ujinga umefanywa na selikali kuu, ni baada ya bunge kuingilia kati, mengi yaibuka. Waziri wa elimu aropoka bungeni hoja yahamishiwa wizara ya afya mazito yaibuka bunge launda kamati na kuagiza kamati kuwasilisha taarifa na mapendekezo/muafaka ndani ya wiki moja yaani alhamisi ijayo...,kamati kuongozwa na waziri kivuli wa elimu mh SUZAN LIMO (mbunge chadema),Hoja za kuchunguzwa na kujilidhisha ni,
Uhalali wa wanafunzi wanaosoma kozi za afya chuoni hapo,kwan kuna aadhi ya wanafunzi hawana sifa ambao wameingia chuo bila kupitia TCU nawapo walioingia kupitia TCU lakini hawana sifa pia mfano medicine ni lazima mtu awe amesoma PCB lakini KAMPALA wapo hadi PCM.kwann?
Uwepo na uhalali wa kozi za pre-medical MPP kwa bachelor na BRIDGING COURSE kwa certficate na diploma,awali TCU waliikubali bila masharti wakati wanafunzi wanagomea MPP mwaka jana lakini mwaka huu wa M4C K.I.U TCU wameikubali kwa masharti eti iwepo ila isimuumize mwanafunzi na isiwe zaidi ya wiki 3 wala isilipiwe ada cha ajabu ni kwamba kozi hii inachukua semester nzima inalipiwa ada kama semester nyingine.TCU wanasema si sawa iwe hivi, lakini hawajachukua hatua yeyote juu ya kosa hili.kwann?
Uhalali wa nyaraka mbalimbali za serikali zinazosemekana kutolewa na vyombo mbalimbali vya serikali kama TCU na NACTE ili kuwatuliza wanafunzi.inasemekana barua mbalimbali kutoka taasisi hizi si halali sababu hazina mihuri rasmi toka ofisi za taasisi hizo kwa maana hiyo zinatengenezwa na watu,ni nani anayetumia nembo ya serikali kufanya udanganyifu na ni kwann na kwa maslahi ya nani?
Kwanini taasisi husika za elimu zimeruhusu idadi kubwa ya wanafunzi kuanza kusoma katika majengo ambayo bado hayajakamilika hivyo kuhatarisha usalama wa wanafunzi.
Inakuwaje chuo kinapewa provsional registration mpaka watu wanahitimu bado tu kiko katika provisional,hii provisional maana yake nn nan anatoa provisional,kwa muda gani na ni kwa vigezo vp kama chuo kimepewa provisional kwann kisipewe full registered.
Kwanini chuo kikuu wanafunzi wanagoma zaidi ya miezi miwili lakini hakuna chochote kinachofanyika wala chuo kufungwa,mbona vyuo vingine kama st joseph arusha na imtu ilikuwa rahisi sana kufanya maamuzi ya kufunga chuo.
Kwanini chuo hakina current prospectus(mitaala hai kwa kila mwaka wa masomo) ambayo ndio msingi wa chuo kujiendesha kinatumia mitaala gani?nani anaruhusu haya ikiwa ni kinyume na sheria na ni kwann?
Haya ni baadhi ya mambo ambayo kamati inabidi kujilidhisha na kuyapatia majibu baada ya wiki moja.
Ingawa jitihada za kupigania mabadiliko na ukombozi wa KIU zinafanywa na wachache huku kukiwa na mgawanyiko hii inatokana na vitisho vya chuo na kuwepo kwa watu ambao hawana vigezo vya kuwepo kampala na kusoma kozi hizo za sayansi.hivyo basi wanafunzi tulio na vigezo na sifa tunatakiwa kuwa na umoja na mshikamano wakati wa uchunguzi wa kamati hii ya bunge na kuipa ushirikiano kwasababu hii ndio hatua pekee yakuweza kujua hatima yetu baada ya hapa kitakachofuata ni maamuzi na msimamo wa serikali kupitia bunge hivyo tusigawanyike na kudanganywa,muda ndo huu!!!