Kamishna wa zamani wa TRA, Rishade Bade arejea Wizara ya Fedha

Kwanza teuzi za kiwaki zilianza na Katibu Mkuu Kiongozi maana baada ya kuapishwa Mama kwenye speech yake akasema kuwa alikuwa hamfahamu,sasa mpaka hapo hatushituki tu kuwa hii nchi inaongozwa na Ntu wa nje ya Ikulu.Inawezekanaje Rais asimjue Mkuu wake wa Utumishi serikalini?
Subirini uteuzi wa Shubash Patel unakuja!!

Hiyo yote cha mtoto, Jeshini ndiyo kila kitu, hakuna mtu anajua alipotokea…
 
Kwanza teuzi za kiwaki zilianza na Katibu Mkuu Kiongozi maana baada ya kuapishwa Mama kwenye speech yake akasema kuwa alikuwa hamfahamu,sasa mpaka hapo hatushituki tu kuwa hii nchi inaongozwa na Ntu wa nje ya Ikulu.Inawezekanaje Rais asimjue Mkuu wake wa Utumishi serikalini?
Subirini uteuzi wa Shubash Patel unakuja!!
Eh subhash yupi tena

Ova
 
... huwa inakuwaje kiongozi mmoja anamwona mtendaji fulani hafai soon thereafter kiongozi mwingine anamwona anafaa? Huwa sielewi! It seems hizi mamlaka za uteuzi ziko more subjective badala ya objectivity! Kuna shida kubwa kwenye hili eneo.

Sure mkuu
 
...adui wa adui yangu ndiye rafiki yangu!
 
... huwa inakuwaje kiongozi mmoja anamwona mtendaji fulani hafai soon thereafter kiongozi mwingine anamwona anafaa? Huwa sielewi! It seems hizi mamlaka za uteuzi ziko more subjective badala ya objectivity! Kuna shida kubwa kwenye hili eneo.
Kwanza jiulize huyo Magufuli alimtoa Rished Bade kwa kosa gani? Naunga mkono kuwarudisha watu wote walioonewa na kichaa wa Chato bila sababu
 
Akili nyingi zinapimwaje?
Kuanzia darasani hadi utendaji kazini kwa waajiriwa

Kwa wasioajiriwa akili zinapimwa kwa matokeo yao mitaani mfano msukuma darasa la saba ana akili ndio maana yuko bungeni anamiliki zaidi ya mabasi 100 na biashara kibao na ana helikopta ya kwake ya kutembelea

Bakheresa ana akili alimaliza darasa la pili tu na ni Bilionea

Akili ni kitu kinachoonekana kwa matokeo popote mtu awapo.Akiwa darasani akili zake hujulikana kwa Marks apatatazo darasani ,akiwa kazini performance huamua,akiwa shambani utaona matokeo akiwa kwenye business utaona,akiwa kwenye mpira utaona.Mayele ana akili nk

Akiwa kwenye community utaona mfano Mtume Bulldozer Mwamposya ana akili kwenye mambo ya dini ndio maana ana umati
 
Bade kuna jamaa yake mmoja anaishi Milton Keynes anasimulia.

Enzi zake yupo TRA huyo kijana alienda kumsabahi nyumbani kwake akaulizwa anaishu gani. Jamaa akamwambia bado anajitafuta, akaambiwa asubiri. Bade kaenda chumbani kurudi kamkabidhi $50,000 cash bure anamwambia tafuta cha kufanya basi.

Hawa ndio aina ya watu Samia anaowarudisha serikalini. Huyu mama anaiharibu hiyo nchi, kwa sasa ni mateka wa wahuni waliokuwa awamu ya J.K.
Chai chai
 
Kwanza jiulize huyo Magufuli alimtoa Rished Bade kwa kosa gani? Naunga mkono kuwarudisha watu wote walioonewa na kichaa wa Chato bila sababu
Wewe tunakujua, kichaa wa chato alikubutua kwa nyuma ndio sababu ya makasiriko yote haya!

Hata hivyo haiondoi ukweli kwamba ukoo wako unaliwa na umasikini, lakini kichaa wa chato yeye familia yake iko kwenye mfereji wa hela.
 
Uliza watoto wa mjini wanaoishi ‘Milton Keynes’ na jina la jamaa ningeweza kulitaja sema taratibu za JF aziruhusu.

We unadhani kwanini alikuwa mtu wa mwanzo kutumbuliwa, tatizo hawa watu awakuchukuliwa hatua za kisheria tu.
Aliwaonea tu kuwatumbua kwa chuki zake. Ila Mungu wetu ndiyo anajuwa kutumbua halali. Rot in hell Magufuli
 
Bade kuna jamaa yake mmoja anaishi Milton Keynes anasimulia.

Enzi zake yupo TRA huyo kijana alienda kumsabahi nyumbani kwake akaulizwa anaishu gani. Jamaa akamwambia bado anajitafuta, akaambiwa asubiri. Bade kaenda chumbani kurudi kamkabidhi $50,000 cash bure anamwambia tafuta cha kufanya basi.

Hawa ndio aina ya watu Samia anaowarudisha serikalini. Huyu mama anaiharibu hiyo nchi, kwa sasa ni mateka wa wahuni waliokuwa awamu ya J.K.
Porojo hizo
 
Taarifa ya Gazeti la Mwananchi inaeleza kwamba Kamishna wa Zamani wa TRA, Rished Bade ameteuliwa kuwa Kamishna wa kitengo cha fedha za nje Wizara ya fedha.

Bade anatajwa kuwa miongoni mwa maofisa wa mwanzo kabisa kutumbuliwa na Dr. Magufuli mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais 2015. Inadaiwa amedumu nje ya ulingo kwa miezi 79.

Tunamtakia kila la heri kwenye majukumu yake mapya.
Kwani safu ya mafisadi kurudishwa serikalini haijatimia tu?
 
Back
Top Bottom