Kamishna wa zamani wa TRA, Rishade Bade arejea Wizara ya Fedha

... huwa inakuwaje kiongozi mmoja anamwona mtendaji fulani hafai soon thereafter kiongozi mwingine anamwona anafaa? Huwa sielewi! It seems hizi mamlaka za uteuzi ziko more subjective badala ya objectivity! Kuna shida kubwa kwenye hili eneo.
Upo sahihi kwa upande wako, lakini kila mmoja anamtazamo wake, hasa lunapokuja swala la uteuzi,

Kwa mfano, prof Assad ni mtaalamu haswa wa maswala ya fedha na uchumi lakini late MAGUFULI alimuona hafai, ndo nikaamini kila mtu anafaa ni mitazamo ya mtu binafsi
 
Bade kuna jamaa yake mmoja anaishi Milton Keynes anasimulia.

Enzi zake yupo TRA huyo kijana alienda kumsabahi nyumbani kwake akaulizwa anaishu gani. Jamaa akamwambia bado anajitafuta, akaambiwa asubiri. Bade kaenda chumbani kurudi kamkabidhi $50,000 cash bure anamwambia tafuta cha kufanya basi.

Hawa ndio aina ya watu Samia anaowarudisha serikalini. Huyu mama anaiharibu hiyo nchi, kwa sasa ni mateka wa wahuni waliokuwa awamu ya J.K.
Kwahiyo mtu akipewa hela unaumia sana..?, Ungekua ni wewe umepewa ungekuja hapa kutusimualia hekaya zako hizo.

Jaribu kuficha wivu
 
... huwa inakuwaje kiongozi mmoja anamwona mtendaji fulani hafai soon thereafter kiongozi mwingine anamwona anafaa? Huwa sielewi! It seems hizi mamlaka za uteuzi ziko more subjective badala ya objectivity! Kuna shida kubwa kwenye hili eneo.
Mkuu wengine huondolewa wanapozingua maslahi ya mkuu
 
Upo sahihi kwa upande wako, lakini kila mmoja anamtazamo wake, hasa lunapokuja swala la uteuzi,

Kwa mfano, prof Assad ni mtaalamu haswa wa maswala ya fedha na uchumi lakini late MAGUFULI alimuona hafai, ndo nikaamini kila mtu anafaa ni mitazamo ya mtu binafsi
... mfano uliotoa ndio hasa tunaita "vivid example"; mfano usio na mashaka.
 
Bade kuna jamaa yake mmoja anaishi Milton Keynes anasimulia.

Enzi zake yupo TRA huyo kijana alienda kumsabahi nyumbani kwake akaulizwa anaishu gani. Jamaa akamwambia bado anajitafuta, akaambiwa asubiri. Bade kaenda chumbani kurudi kamkabidhi $50,000 cash bure anamwambia tafuta cha kufanya basi.

Hawa ndio aina ya watu Samia anaowarudisha serikalini. Huyu mama anaiharibu hiyo nchi, kwa sasa ni mateka wa wahuni waliokuwa awamu ya J.K.
Duh oii hii si hatar sana
 
Kuanzia darasani hadi utendaji kazini kwa waajiriwa

Kwa wasioajiriwa akili zinapimwa kwa matokeo yao mitaani mfano msukuma darasa la saba ana akili ndio maana yuko bungeni anamiliki zaidi ya mabasi 100 na biashara kibao na ana helikopta ya kwake ya kutembelea

Bakheresa ana akili alimaliza darasa la pili tu na ni Bilionea

Akili ni kitu kinachoonekana kwa matokeo popote mtu awapo.Akiwa darasani akili zake hujulikana kwa Marks apatatazo darasani ,akiwa kazini performance huamua,akiwa shambani utaona matokeo akiwa kwenye business utaona,akiwa kwenye moira utaona.Mayele ana akili nk

Akiwa kwenye community utaona mfano Mtume Bulldozer Mwamposya ana akili kwenye mambo ya dini ndio maana ana umati
somo kubwa
 
Back
Top Bottom