... huwa inakuwaje kiongozi mmoja anamwona mtendaji fulani hafai soon thereafter kiongozi mwingine anamwona anafaa? Huwa sielewi! It seems hizi mamlaka za uteuzi ziko more subjective badala ya objectivity! Kuna shida kubwa kwenye hili eneo.
..lakini hata Magufuli alikuwa anatumbua watu na baadae anawarudisha.
..kwa mfano, alimtumbua Kichere toka Tra, akampa u-ras, baadae akamu-elevate kuwa Cag.
..mwingine aliyetumbuliwa ni yule kamanda wa jeshi la zimamoto, lakini baadae akapandishwa na cheo kuwa mkuu wa mkoa.
..what if Bade angerejeshwa na Magufuli, je watu wangehoji kama wanavyofanya sasa hivi?
..tatizo ni kwamba utaratibu wa kuteua na kutengua hauko wazi na uko chini ya mamlaka ya mtu mmoja tu.