Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Fighter kwa maelezo ya Kaunga, shemeji amebaka maana binti alikuwa anatoa kelele za 'sitakii, sitakii!!!'

Mh mi nae kwa umbeya! Utafikiri nilikuwepo!

Kusema tu alikua akipiga kelele inawezekani ni kelele za kuumia(kwa maana eti ni mdogo at 16yrs) au raha!

Hapa kubalineni na mimi au kataeni jamaa alikua anacheat na housegirl wa 16yrs na kesi hapa ni ya kucheat! na ambayo husameheka.

Jamaa na mlaumu tu kwa nini housegirl wakati hawa viumbe wengi kwelikweli wa kila aina wewe tu!
 
Mkuu atuambie kwanza alikuta anabaka? au wanafanya tendo la ndoa kwa makubaliano? ambayo kama ndio mtoa mada aseme mume wa mdogo wake amekutwa akicheat na housegirl!

Anabaka! Bila ridhaa ya binti ambaye ni under 18!
 
Kaunga hivi kitu kimewafanya hadi sasa hamjaenda kuripoti polisi? Naomba unipe concrete reason..
 
Mpe pole sana.

Kwanza mngeanza kwa kumsaidia huyo bibyi wa watu kupata haki, huyo mwanaume mnyama anastahili kushughulikiwa na vyombo vya sheria. Alafu ndio mdogo wako aamue cha kufanya kuhusu ndoa yake, jitahidi tu maamuzi atakayofanya yasiwe yakwako wewe bali yakwake mwenyewe kutokana na ushauri atakaopata, ili mambo yakibadilika asikulaumu wewe.

Ila kama ingekua mimi, ni jela na talaka.
 
hivi kwa sheria ya TZ inasemaje kuwa na mahusiano na mtu chini ya miaka 18
nadhani unashtakiwa na jamhuri?
Na adhabu ni 30?

Halisameheki hili

Hapa kubalineni na mimi au kataeni jamaa alikua anacheat na housegirl wa 16yrs na kesi hapa ni ya kucheat! na ambayo husameheka.
 
Kaunga hivi kitu gani kimewafanya hadi sasa hamjaenda kuripoti polisi? Naomba unipe concrete reason..
 
Kusema tu alikua akipiga kelele inawezekani ni kelele za kuumia(kwa maana eti ni mdogo at 16yrs) au raha!

Hapa kubalineni na mimi au kataeni jamaa alikua anacheat na housegirl wa 16yrs na kesi hapa ni ya kucheat! na ambayo husameheka.

Jamaa na mlaumu tu kwa nini housegirl wakati hawa viumbe wengi kwelikweli wa kila aina wewe tu!
Watu bwana.
Huyo msichana angekua binti yako bado ungeandika uliyoandika hapo juu?
 
Kusema tu alikua akipiga kelele inawezekani ni kelele za kuumia(kwa maana eti ni mdogo at 16yrs) au raha!

Hapa kubalineni na mimi au kataeni jamaa alikua anacheat na housegirl wa 16yrs na kesi hapa ni ya kucheat! na ambayo husameheka.

Jamaa na mlaumu tu kwa nini housegirl wakati hawa viumbe wengi kwelikweli wa kila aina wewe tu!

Huko kwingine atakujibu Kaunga.

Ila hapo pa mwisho, unasahau kuwa housegirl naye ni mmojawao hao viumbe!!
 
huwa sishabikii kuvunja ndoa at any cost
lakini hapo hana ndoa
anatafuta magnjwa tu ya bure

baadhi ya hao watu wa kazi hizo huwa ni wabakaji sana
huwa hawastakiwi kulinda hadhi ya sehemu zilizowaajiri

kwa kifupi hana mme hapo
ila mwenye ndoa ndo ataamua
afu %ya maambukizi ya vvu migodini ni kubwa
afu yuko mbali na mkwewe kitu kinachoongeza risk
Plus risk behaviors
duh!

Hapo kwenye red ni uongo mtupu havihusiani kabisa, kama mtu anatabia hiyo hata kama ni mchungaji atabaka tu.
 
hapo hakuna ndoa
maana binti ni less than 16
makosa ya kujamiiana anashtakiwa na jamhuri
tayari ni miaka 30

hii itamuokoa hata mdogo wako toka kwa huyo jamaa

Less tha 16yrs ndio umri upi huo jamani?

Kama ni less than 14yrs hata uhousegirl airuhusiwi msichukue watoto wadogo na kuwafanyisha kazi za ndani wachukueni above 18yrs ilikama waumezenu wakiwabaka wanakuwa wamebakana right!
 
Kusema tu alikua akipiga kelele inawezekani ni kelele za kuumia(kwa maana eti ni mdogo at 16yrs) au raha!
Hapa kubalineni na mimi au kataeni jamaa alikua anacheat na housegirl wa 16yrs na kesi hapa ni ya kucheat! na ambayo husameheka.
Jamaa na mlaumu tu kwa nini housegirl wakati hawa viumbe wengi kwelikweli wa kila aina wewe tu!
Kwa hiyo mtoto sio kosa kushiriki tendo la ndoa na 'mwanamke' wa miaka 16 sababu sio mtoto, akipiga kelele ni za raha na akilia ni uchimvi. LAZIMA walikubaliana tu, hata aseme nini, na hata jirani waseme nini.
You are disgusting!
 
Mume mtamu, ndo sababu

kuna mwanamke kambi moja ya jeshi
alikuta mumewe kampakata mtoto wa jirani
3yrs
anamsugua na gunzi lake
alipiga yowe la hamaki
lakini baada ya siku 3
alimsaidia mumewe kutoroka
na sasa wako wote

wanawake na waume zao, they can sell anyone

Kaunga hivi kitu kimewafanya hadi sasa hamjaenda kuripoti polisi? Naomba unipe concrete reason..
 
Kaunga hivi kitu kimewafanya hadi sasa hamjaenda kuripoti polisi? Naomba unipe concrete reason..

The incident took place last night; mume alivyofumaniwa aliwatishia mkewe na binti kuwapiga (akarusha chupa ya beer ukutani) wakakimbia kutafuta refuge kwa friends. They r in Geita; l am in Kigoma. She send me a text, l saw it in the morning (slept soundly after swimming). I learnt the girl was underage later in the morning, so at first l was concerned about my sister!

She is going to get the girl now and report the case to police!
 
Amsamehe tu!asimpeleke polisi,wayamalize kidplomasia
No Fe Lady, hapa victim sio mke. yeye ni collateral damage tu, victim ni huyo binti, na kosa kama hilo halisameeki!
Huyu mtu ni hatari kwa binadamu wengine na lazima afungwe, na matokeo yake ndoa pia itakua affected.
 
niache niamini nachoamini, na wewe endelea kuamini unachoamini

rate ya ubakaji migodini na ofisi zingine inalingana?
Wanaziripoti kesi hizi?

Hebu jifanyie uchunguzi mdogo kwenye dispensaries around mines.

Hapo kwenye red ni uongo mtupu havihusiani kabisa, kama mtu anatabia hiyo hata kama ni mchungaji atabaka tu.
 
Back
Top Bottom