Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Haiwezi kuwa tofauti kwani tayari nimeshajipanga hivyo!! na najua ndoa sio mchezo na ndio maana naivutia kasi nikiingia humo najua hakuna kutoka wala kuachana kwa mambo yasiyokua na miguu wala mikono!
Haya hayajaanza leo hata mama zetu wenye zaidi ya miaka 50 kwenye ndoa wamevumilia mengi ndio maana leo tumlelewa vizuri na tukirudi vijijin tunawakuta!

Good for you!
For the single guys in JF, msiwe wazembe wife material/mke mwema yumo humu mshindwe wenyewe!
 
Tukumbuke wazee wetu walikuwa wanaongozwa na mila na desturi lakini wa leo wanaongozwa na dot com ndo maana haya matukio ya ajabu ajabu hayatakoma!!

Mwambie; hatakiwi kuboost, anachotakiwa ni kuomba Mungu sana tu, maana uhusiano mzuri ni zawadi ya Mungu na si juhudi za mortal being kama binadamu!
 
Hapa wanaume wengi wanataka mke asamehe kisa eti si malaika... sipati picha ingekua kinyume chake hapa kua mama kakutwa na housegirl..!! pangekua hapatoshi. wanaume bwana, kwa kutetea kwenye maujinga yenu hamjambo....
 
hahahahahhahaahahhhh Sal bwana umewashika penyewe haswaa. Pangekuwa hapashikiki hapa, watu keyboards wangetypia vidole gumba vya miguuni!!
Hapo kwenye Housegirl ulitaka kuweka boy au? loh
 
hahahahahhahaahahhhh Sal bwana umewashika penyewe haswaa. Pangekuwa hapashikiki hapa, watu keyboards wangetypia vidole gumba vya miguuni!!
Hapo kwenye Housegirl ulitaka kuweka boy au? loh

Hahahahahah lol! Napiga picha hii ya kutypia na vidole gumba vya miguuni haiingii akillini lol! nami nina swali kama lako hapo kwenye nyekundu.
 
Mume mwema hutoka kwa mungu!

Umenena vyema bint...pole kwa huyo mtendwa..ila nina shaka na kaunga iweje jamaa aanze huo ubakaji muda wa wife kurudi kibaruani? Jamani na sisi tuna nafsi hivyo hofu ipo pale pale...ushauri wangu: kwa wanaume mapenzi ni kama kazi na tena ni ibada...ndiyoo Paulo anasema tusinyimane tusijeingia majaribuni...mabinti jitumeni kununa/visingizio vya pressure shuka/panda,mshono,vidonda vya tumbo nk. ni kuwekana majaribuni...hapa pombe nayo inaweza kuwa sbabu 'viroba ni zaidi ya viagra'.....lkn kwa uasherati huu ndoa yaweza kuvunjwa..
 
mbakaji jamani! huyu aachwe tu jamani, huko mbeleni anaweza baka hata wadogo zake wakija likizo
 
Back
Top Bottom