Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

Na yule jaji wa ccm aliyetoa ile hukumu ya kutengua ubunge wa Lema nilisikia ali-palalizi. Vipi bado hajakata roho tu kumfuata huyu mwenzake, ili wakiwa huko wakaulizane vizuri...

Ziraili hachezi mbali na 18
 
MS mimi ni mkiristo na kiongozi wangu akikosea lazima nikemeee kwani sitaki kulea upuuzi just because ni kiongozi au ni mkristo mwenzangu.
Nimebatizwa na kubarikiwa katika kanisa hili husika hivyo mimi ni muumini wa kanisa hili.
Narudia tena, Askofu wangu Laizer ni jambazi sugu anayejificha kwa kutumia kofia yake ya uaskofu mithili ya kobe ktk gamba lake.
Naanda ushahidi wa kutosha ili nifikishe swala hili la ufisadi wa Askofu Laizer ktk mamlaka husika.

Daudi Mchambuzi,askofu Laizer ndiyo ametangulia tayari;so sad!
 
Last edited by a moderator:
Pumzika Baba...

Sisi Lema ni wetu hata angemkataa Ambilikile, Mahakama imeshindwa, Kivuyo na timu yake wamechemka vile vile hata mfadhili wao.


Tulobaki tuhubiri Upendo.
 
Back
Top Bottom