Kambayuwayu ka Kikwete kalikotaka kuwa tetere!

Inaelekea hapa alijihesabia kipindi chake cha pili (ambacho ana uhakika nacho) na miaka mingine 3 kwa atakayemrithi ndiyo mbayuwayu wairudishe hoja mezani....

Uchaguzi wa nini sasa kwa mwendo huu!! Kukapige kura wakuu..lasi ivyo ni mwendo wa kulalamika mpaka kufa!
 
unajua hapo ni kwamba wale aliokuwa nao karibu wanakula vizuri sasa hataki wafanyakazi ambao ndio mbayuwayu waingilie mlo wao na kuharibu dili zima, wananchi wa nchi hii wananyonywa na wakubwa, lazima siku itafika na kuchoka haya yote. Unajua hata mtoto kila siku unamdanganya, ipo siku atachoka na hata kuwambia tena, mwisho wa haya manyanyaso ni mapambano tu
 
Na kweli iko siku...Watanzania tutainuka na kuchambua pumba ipi na mchele ni upi.
Honestly mie binafsi nimechokaaaa vibaya mno na UONGOZI WA SASA. Dalili ya mvua ni mawingu..hizi ni dalili kuwa ukombozi uko karibu.
 
Si wajua ukiwa mpenda sifa kwa wageni. Si umemuona mwanausalama Kova akipewa 'special coverage' hapo ITV kupiga mkwara atakayebeba mabango akisisitiza 'Tanzania Kisiwa cha Amani'

Hawa ni wapumbaf tu wanaocheza dance kwa tune za bwana yao. Hata kufikiri tu kwamba ndugu zake tumekuwa victimized yeye alijifuza kupiga basi kitisho ni kupiga. pambaf zake!
 
Back
Top Bottom