Kamati ya wabunge waliopelekwa na ndege za bariki mgodini.

Gilbert Kinya

New Member
Aug 14, 2011
2
0
Hivi wabunge waliokubali kwenda na ndege zilizotolewa na kampuni ya uchimbaji madini ya Barick kwaajili ya uchunguzi wa shughuli za mgodi huo wametoa mfano gani kwa taifa,hiyo si rushwa?
 
Na hapa ndo umeona mahali pake??swali jingine hilo kwako mtoa mada
Hivi wabunge waliokubali kwenda na ndege zilizotolewa na kampuni ya uchimbaji madini ya Barick kwaajili ya uchunguzi wa shughuli za mgodi huo wametoa mfano gani kwa taifa,hiyo si rushwa?
 
Tuwahukumu baada ya kutoa report yao nimesikia wamekataa vitu vingi ambavyo barrick walisema wamefanya hata wamemtoa kasoro za uongo waziri wa mazingira na anaonekana alidanganya Bunge sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom