Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,854
Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa.

Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu wala hata hawakushitui kwamba unatembea na kamati ya mapokezi,

Ole wako sasa uwe unavimba, watu watakuwa wanakuchora tu kwa mbali huku wakikucheka kwa jinsi unavyojitunisha kuwa na dem ambae ni kamati ya mapokezi.

Kwa mtu ambae anachanganyikana na watu wengi wa matabaka mbali mbali ni rahisi kusanuliwa na wenzake kwamba huyo aliepata ni cha wote ila kama wewe ni mtu serious ambae hata kuchanganyikana na watu ni ishu labda kisa ni bosi, hapo utakuwa kinyago watu watakuwa wanakucheka kimya kimya unawapa burudani vile unavyokula matunda ya ukauzu wako.
 
Yamekukuta?
 
Mbona rahisi tu.

Ukifika mahali ongea na boda au bajaji. Mshikishe 10K na utapata ishu nzima ya hiyo kamati yako ya mapokezi kwa usahihi tu....
 
Kuna washkaji wana mambo yakise.../
Tungi wanagongea/
wanalewa halafu mawenge/
yaan dem mkari hivihivi upitishe wembe/
Huna hela,gari,nyumba halafu unataka akupende/
UNANIKATA STIM
bwana mdg akishirikishwa huwaga hakosei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom