Wakishamaliza mbinu zao zote watatukuta kwenye majukwaa.CCM wamemtumia babu wa Loliondo kupata ahueni. Tunahitaji moto mwingine mkishakaa, tumechoka na habari za babu
nchi haitatawalika kwa maandamano ya mfululizoKama maandamano ya amani poa tu lakini kama wataendelea kutoa milopoko ya incite watu then wajadili pia watafanya lipi chama kikipigwa stopu na tendwa,vilevile kama viongozi wakuu wakiswekwa lupango anything can happen siku zote simba mwendapole ndo mla nyama.
VIPI PENGO NAYE KAALIKWA maana nasikia ndo chadema one.
kiburi na jeuri mliyonayo itaishia pabaya, na hayo yote ndio matokeo ya hizo pesa mnazopewa na ma freemason. Chuki yenu na ccm lisiwe ni daraja la kuhamasisha tusiyohitaji kwa sasa. Kama ni matatizo yaliyopo nadhani mngejikita katika kuleta fikra kwa serikali nini kifanyike. Unajua shetani ni mbaya sana, akisha kuingia kichwani hata uambiwe unakosea unakuwa mzito kuelewa.wala kupata kula siyo mpaka mtumie njia hiyo. Ningewashauri uongozi wa cdm mngeacha kwanza mpaka 2013, there you will have many to say, ccm watakuwa hawana cha kudanganya.mngewaacha kwanza mkaona ahadi zao zitakuwaje kama kweli moo kitaifa zaidi.
Nyie viongozi wa chadema ivi mnajua kama movement zenu zinapandisha hisia kubwa za udini? Angalieni msije kuruka mkojo mkakanyaga mavi.
Subiri Kakalende atakuja kukwambai malapa yanatoka wapi kwenye internet?hawa watu sijui dizaini gani,nadhani wanalipwa si bure...Nilimwuliza mmojawao (Taso)Kwenye ile thread ya MKJJ vs. Kamati ya Zitto; kwanini anaongea kwa jazba?Kakalende akaja akasema haongei kwa jazba bali anatype kwa jazba.Kama habari haikuhusu chapa lapa.
kiburi na jeuri mliyonayo itaishia pabaya, na hayo yote ndio matokeo ya hizo pesa mnazopewa na ma freemason. Chuki yenu na ccm lisiwe ni daraja la kuhamasisha tusiyohitaji kwa sasa. Kama ni matatizo yaliyopo nadhani mngejikita katika kuleta fikra kwa serikali nini kifanyike. Unajua shetani ni mbaya sana, akisha kuingia kichwani hata uambiwe unakosea unakuwa mzito kuelewa.wala kupata kula siyo mpaka mtumie njia hiyo. Ningewashauri uongozi wa cdm mngeacha kwanza mpaka 2013, there you will have many to say, ccm watakuwa hawana cha kudanganya.mngewaacha kwanza mkaona ahadi zao zitakuwaje kama kweli moo kitaifa zaidi.
Nyie viongozi wa chadema ivi mnajua kama movement zenu zinapandisha hisia kubwa za udini? Angalieni msije kuruka mkojo mkakanyaga mavi.
Kama maandamano ya amani poa tu lakini kama wataendelea kutoa milopoko ya incite watu then wajadili pia watafanya lipi chama kikipigwa stopu na tendwa,vilevile kama viongozi wakuu wakiswekwa lupango anything can happen siku zote simba mwendapole ndo mla nyama.
VIPI PENGO NAYE KAALIKWA maana nasikia ndo chadema one.
walivyobanwa watajikuta wanatekeleza sera za CDM badala ya sera za CCM...Ahaahahaa cdm wasubiri hadi 2013 ili waone kama ccm wanatekeleza waliyoahidi! Mbona tangu uhuru wamepewa muda wanashindwa kutekeleza wanayoahidi?
ikikuuma potezeeeeeeeeeeee km vp mkuu.nilitegemea habri kama hii kuikuta kwenye website ya chama,sasa inakuja kuwekwa hili iweje? Hivi habari kuhusu mkutano wa viongozi wa chadema kwetu sis kama great thinker inatuhusu nini? Au hii thread inawezaje kutufanya sisi kuthink greatly?? It is crap coz kila chama kitaamua kupost habari zake za mikutano basi jf itapoteza malengo yake
Kama maandamano ya amani poa tu lakini kama wataendelea kutoa milopoko ya incite watu then wajadili pia watafanya lipi chama kikipigwa stopu na tendwa,vilevile kama viongozi wakuu wakiswekwa lupango anything can happen siku zote simba mwendapole ndo mla nyama.
VIPI PENGO NAYE KAALIKWA maana nasikia ndo chadema one.
Nimetafakari post yako nikashindwa kuielewa na kukuelewa. Hivi umetuandikia propaganda, ushabiki ama kutokuelewa kwako. Hivi ni kweli unajua kazi za vyama vya siasa? Au unafikiri kazi zao ni kipindi cha uchaguzi tu kama wakishindwa kuongoza nchi basi wanalala mpaka uchaguzi mwingine. Hebu jikomboe kifikra ili uweze kujisaidia wewe na watu wanaokuzunguka.