Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,812
218,468
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam.

Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine mengi, uwe tayari kupokea maelekezo yatakayoongoza nchi kwa kipindi kilichosalia.

Taarifa yao hii hapa

Screenshot_2023-09-20-17-20-20-1.png
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema , ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake , inakutana tena Jijini Dar es Salaam .

Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme , bei na uhaba wa mafuta , Mkataba wa Bandari , Katiba mpya , Tume huru ya Uchaguzi , Maridhiano na mengine mengi , uwe tayari kupokea maelekezo yatakayoongoza nchi kwa kipindi kilichosalia .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2756337
Uchaguzi wa Mbeya uhusike kuleta mwelekeo mpya wa namna ya kulipata Sanduku la kura lililoibwa na CCCm.
 
CCM no dude moja kubwa saaaaaaan

Tumpe Maua yake hata kama yuko mbele ya haki Mfinyazi na Mhandisi wa hiki Chama

bila shaka zile 2 billion walizopewa na Serikali kama malimbikizo ya ruzuku zimeshapata viambatisho kwa kuzunguka Nchi nzima na Helcopter na posho na gharama zingine za kujenga Chama

Mjini kila mtu ana mbinu yake ya kupata fedha

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Masikini mnawaza kula na uchawi tu
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema , ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake , inakutana tena Jijini Dar es Salaam .

Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme , bei na uhaba wa mafuta , Mkataba wa Bandari , Katiba mpya , Tume huru ya Uchaguzi , Maridhiano na mengine mengi , uwe tayari kupokea maelekezo yatakayoongoza nchi kwa kipindi kilichosalia .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2756337
Samahani.

Kwa maoni yangu, Agenda kuu na ya pekee kabisa ya vikao kama hivi, haiwezi kukosa kuwa 2024/2025; haya mengineyo ni nyongeza tu za kujazia agenda ya mkutano.

Kama hili hamlioni hivyo, basi tayari mmekwishaachwa na ndege uwanjani.
 
Usiondoke jf kwa taarifa za uhakika
 
Wasisahu kujadili upungufu wa umeme pia
 
Tusubiri kuona kama polisi hawatatanda mitaa ya ukumbi.
 
Samahani.

Kwa maoni yangu, Agenda kuu na ya pekee kabisa ya vikao kama hivi, haiwezi kukosa kuwa 2024/2025; haya mengineyo ni nyongeza tu za kujazia agenda ya mkutano.

Kama hili hamlioni hivyo, basi tayari mmekwishaachwa na ndege uwanjani.
"Pamoja na agenda zingine, Kikao kitajadili hali ya siasa & uchumi pamoja na tathmini ya operesheni +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU.."

Bila shaka agenda ya uchaguzi wa 2024 na 2025 iko confined ndani ya agenda ya hali ya kisiasa & Uchumi nchini.

That's to say, hajaachwa mtu na ndege uwanjani...!!
 
Back
Top Bottom