Kamata LIKES za ODM!!!

Natumia kinywaji unachotumia wewe......


Hahahaha........!

Naona umeanza kubadili tabia taratibu. Unatumia kinywaji gani?

Usimwogope kongosho, FYI huwa ananisaidia kwenye kugonganisha vinaniliyu vya wajukuu.

Come this way sasa.....:ballchain:
 
subiri mimi Yenu bar...ndo nshasema ujue....
Ningekuwa sikujui saa hizi nisingekuwa nakatiza hapa Mlimani City kwa speed 120mph..... Yenu paleeeee:suspicious:
 
Rejao atakosa kitu kama hii kweli?

DJ18grv2wf8AAAAASUVORK5CYII=
 
Wakulu wangwe na vijukuu kwa mpigo marahaba.

Huyu mazee ODM anataraji kwenda maeneo ambayo laptop hairuhusiwi kufika na ikifika ukiiwasha haiwaki. Ukileta ukaidi ukang'angana kuiwasha screen haidisplay kitu....

Dadadeki ya Lusinde wallah... :smash:

Sasa basi kwa kuwa nawapendeni sana ntakuwa namisi kuwatendeeni haki kwa kale ka-button kangu pendwa ka LIKE. Kale kadude nisipokakong'oli mtima wangu huwa unashuka na mawasiliano kati ya ubongo na baiolojia huwa yanapata itilafu (Nahofia nisijebaka mitetea).

Sasa basi jiungeni nami kutakiana heri na kugongeana maLIKE.

Natumaini mchina wangu hataniangusha. hivyo Chit Chat kama kawaaa!

Hivi leo lini? Ngoja niwahi kaunta ya juu.

Haitakuangusha lazima nikeshe nikiomba ili mchina isikuletee longolongo maana bila wewe maji hayapiti.
 
Back
Top Bottom